Kobe JF-Expert Member Joined Jun 17, 2009 Posts 1,794 Reaction score 812 Aug 14, 2009 #1 nimeona niwaulize wana Jf kweli viongozi wameamua kupunguza gharama za matumizi ya magari yao (mashangingi) kwa dhatia (kuionea huruma nchi) au ni geresha tu kuelekea uchaguzi mkuu? Then wakikamata madaraka wakamue kama kawa.!
nimeona niwaulize wana Jf kweli viongozi wameamua kupunguza gharama za matumizi ya magari yao (mashangingi) kwa dhatia (kuionea huruma nchi) au ni geresha tu kuelekea uchaguzi mkuu? Then wakikamata madaraka wakamue kama kawa.!