Ni kweli wanaotumia simu za Android wako hatarini kudukuliwa?

John Sule

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
85
Reaction score
97
Je, dhana hii ni kweli...? inaaminika kuwa watumiaji wa simu zenye mifumo ya "android" ni kuwa wako hatarini zaidi kudukuliwa kuliko watumiaji wa simu zenye mifumo ya "iOS"
 
Hivi mimi Likasu Pangu Pakavu nalinda nini kwenye simu ? Waidukue tu.
 
SI kweli , ila privacy ndo (wanasema) iOS iko poa. Mana Google nI kampuni ya matangazo ko inatumia data zetu kushow ads
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…