ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

ni kweli wanaume wenye asili ya tanga wabahiliiiii? hawajui kutunza wapenzi wao,

detty

Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Eti wanaume wa tanga mradi wakishapata malavidavi na kula vizuri baaaas! Hawajui kingine, wabahili, wanapenda kutafuta wamama wenye ela zao ili. Kukwepa majukumu au wasichana wenye kazi ili wasicare , wanakera hao, waige mfano wa wanaume wa kichaga bwana, atabalance mambo yake ili apate. Maendeleo na mpenz wake ahudumiwe vizuri, loh....wadau semeni ukweli wa mnalojua
 
hi detty posted via mobile
ngoja wenye ujuzi watujuze haya
 
Sio wanaume wote

First lady , yeah tungoje, @UPOPO kama sio wote lkn ndo zao sio, unajua mwanaume ambae hayuko responsible kwa dem au mke wake inaboa sana, hata kama mwanamke ni bilionare lazima mwanaume ndio akesh counter baada ya kujichana, hata kama anatumia ela ya mwanamke wake, kama ni kweli wanaume wa tanga jifunzeni bwana, ubahili sio ishu, utaibiwa.......
 
sifikirii kitu kama hicho.ubahili ni tabia ya mtu,sio kwa sababu uwe umetoka tanga.
 
detty naona hii topic na yenu akinadada, mkimaliza mtuambie ili tuwashauri dada zetu hahah LOL
 
kinadada tunapenda kuhongwa ndio maana hatuheshimiki!!!
 
Kwa maana ingine wanaume wa Tanga ni wavivu au??? Ndo wanaoongoza kwa Umariooooo au????

Mmmmm Tanga kuna ni??
 
Kwa maana ingine wanaume wa Tanga ni wavivu au??? Ndo wanaoongoza kwa Umariooooo au????

Mmmmm Tanga kuna ni??
Hushangai ukimtuma mwanaume wa kitanga anunue mahitaji ya nyumbani anakuja na nyanya 2, vitunguu 2, tunda moja au mawili, mafuta ya chakula yakupima kama ya jero hivi , loh nisitaje sana, kitoweo ndo kabsaaaa, mwanaume kama huyo nitampeleka wapi mie, halafu anapenda kula vizuri na sana tu, hivi hiyo ni akili kweli alafu ni msomi na anamshahara usopungua laki 6 kwa mwezi....sio ubahili ni nini! Kweli tanga kunani.....
 
kinadada tunapenda kuhongwa ndio maana hatuheshimiki!!!

Shost, wala sio kupenda kuhongwa! Mwanaume hayuko responsible huyo, yani nina mfano alisia kabsaa, mwanaume wa kichaga hata kama demu wake ana kazi lkn ana act kama baba kiukweli, atafanya kila awezalo kutake care home stuffs....sio kama nawatetea sana hapana, mwenye mwanaume mchaga aongee hapa jamani, mwanaume gani una shughuli ya kuulizia home kumepikwa nn wakati hujanunua chochote wala hujatoa ela ya matumizi kama hayo....loh
 
dah,nina swaiba wangu mtanga,nimemuulza,anasema wao WANAJUA KUENZI
 
Mrembo detty usemalo ni la kweli wanaume wa kichagaa wanajua kucare kweli ila pia sio wote wafanyao hivyo,vile vle pia kwa wanume wa tanga sidhani kama
wote wanatabia hiyo ya umariooooo?
 
Mrembo detty usemalo ni la kweli wanaume wa kichagaa wanajua kucare kweli ila pia sio wote wafanyao hivyo,vile vle pia kwa wanume wa tanga sidhani kama
wote wanatabia hiyo ya umariooooo?
Hahaaa, @Tama, nimekusoma ila mi nakerwa na wanaume wote ambao wanapenda tu malavidavi na misosi wanasahau kama mwezeshaji wa hayo mambo anatakiwa kutunzwa na kuenziwa......hata wanawake wanapaswa kuwacare wanaume lkn mwanaume ana role ya kipekee zaidi
 
Shost, wala sio kupenda kuhongwa! Mwanaume hayuko responsible huyo, yani nina mfano alisia kabsaa, mwanaume wa kichaga hata kama demu wake ana kazi lkn ana act kama baba kiukweli, atafanya kila awezalo kutake care home stuffs....sio kama nawatetea sana hapana, mwenye mwanaume mchaga aongee hapa jamani, mwanaume gani una shughuli ya kuulizia home kumepikwa nn wakati hujanunua chochote wala hujatoa ela ya matumizi kama hayo....loh
sasa unasababu gani ya kuwa na mwanaume wa namna hii jamani.
 
dah,nina swaiba wangu mtanga,nimemuulza,anasema wao WANAJUA KUENZI
Bajabiri, huyo swaiba wako mtanga lazima kamba avutie kwake....mie sio mchaga wala mtanga, so niko neutral na naongea kutokana na experience, mwanaume wa kichaga keshanidate lkn mtanga bado, I wish ninge experience na hilo ili nijue ukweli.....tehe
 
detty naona hii topic na yenu akinadada, mkimaliza mtuambie ili tuwashauri dada zetu hahah LOL
GFM, hii topic haiishi mpaka na wewe useme ukweli, au we mtanga pia nn, hahaaa
 
Hahaaa, @Tama, nimekusoma ila mi nakerwa na wanaume wote ambao wanapenda tu malavidavi na misosi wanasahau kama mwezeshaji wa hayo mambo anatakiwa kutunzwa na kuenziwa......hata wanawake wanapaswa kuwacare wanaume lkn mwanaume ana role ya kipekee zaidi

Mianaume mizembe iko kwenye kila kabila na mengi yao ni matoto ya mama............yani wanakera mpaka basi,mijinga hadi kudeka inadeka!na kama kawa husahau wema,so usijitume sana akawa ka umemzaa wewe bali mfundishe kuwa responsible na mgawie wajibu,akue na awe mwanaume kama alivyo kitandani,manake huko wako vizuri.Wanaume wa Tanga,Pwani na wazaramo wamezidi kwenye hili,yanapenda dezo......:disapointed::disapointed::faint2:
 
Back
Top Bottom