Sio wanaume wote
FL1 sikuhizi bongo kumekucha bibi, simu na mitandao ya kila aina hahahhi detty posted via mobile
ngoja wenye ujuzi watujuze haya
kinadada tunapenda kuhongwa ndio maana hatuheshimiki!!!
Hushangai ukimtuma mwanaume wa kitanga anunue mahitaji ya nyumbani anakuja na nyanya 2, vitunguu 2, tunda moja au mawili, mafuta ya chakula yakupima kama ya jero hivi , loh nisitaje sana, kitoweo ndo kabsaaaa, mwanaume kama huyo nitampeleka wapi mie, halafu anapenda kula vizuri na sana tu, hivi hiyo ni akili kweli alafu ni msomi na anamshahara usopungua laki 6 kwa mwezi....sio ubahili ni nini! Kweli tanga kunani.....Kwa maana ingine wanaume wa Tanga ni wavivu au??? Ndo wanaoongoza kwa Umariooooo au????
Mmmmm Tanga kuna ni??
kinadada tunapenda kuhongwa ndio maana hatuheshimiki!!!
Hahaaa, @Tama, nimekusoma ila mi nakerwa na wanaume wote ambao wanapenda tu malavidavi na misosi wanasahau kama mwezeshaji wa hayo mambo anatakiwa kutunzwa na kuenziwa......hata wanawake wanapaswa kuwacare wanaume lkn mwanaume ana role ya kipekee zaidiMrembo detty usemalo ni la kweli wanaume wa kichagaa wanajua kucare kweli ila pia sio wote wafanyao hivyo,vile vle pia kwa wanume wa tanga sidhani kama
wote wanatabia hiyo ya umariooooo?
sasa unasababu gani ya kuwa na mwanaume wa namna hii jamani.Shost, wala sio kupenda kuhongwa! Mwanaume hayuko responsible huyo, yani nina mfano alisia kabsaa, mwanaume wa kichaga hata kama demu wake ana kazi lkn ana act kama baba kiukweli, atafanya kila awezalo kutake care home stuffs....sio kama nawatetea sana hapana, mwenye mwanaume mchaga aongee hapa jamani, mwanaume gani una shughuli ya kuulizia home kumepikwa nn wakati hujanunua chochote wala hujatoa ela ya matumizi kama hayo....loh
Bajabiri, huyo swaiba wako mtanga lazima kamba avutie kwake....mie sio mchaga wala mtanga, so niko neutral na naongea kutokana na experience, mwanaume wa kichaga keshanidate lkn mtanga bado, I wish ninge experience na hilo ili nijue ukweli.....tehedah,nina swaiba wangu mtanga,nimemuulza,anasema wao WANAJUA KUENZI
GFM, hii topic haiishi mpaka na wewe useme ukweli, au we mtanga pia nn, hahaaadetty naona hii topic na yenu akinadada, mkimaliza mtuambie ili tuwashauri dada zetu hahah LOL
Hahaaa, @Tama, nimekusoma ila mi nakerwa na wanaume wote ambao wanapenda tu malavidavi na misosi wanasahau kama mwezeshaji wa hayo mambo anatakiwa kutunzwa na kuenziwa......hata wanawake wanapaswa kuwacare wanaume lkn mwanaume ana role ya kipekee zaidi