Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
Salaam wana JF, mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wakisema wanawake weusi ni watamu kuliko weupe, hili lina ukweli wowote?
Shosti wewe shombe shombe kama Wema nini?mbona jibu lako kama swali limekukera?:shocked:Basi wangeolewa weusi tu
Salaam wana JF,
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia watu wakisema wanawake weusi ni watamu kuliko weupe, hili lina ukweli wowote? Wakuu kuna mwenye kufahamu ukweli kuhusiana na hili atujulishe.
Karibuni