Ni kweli WASAFI wamekuwa nominated kwenye Grammy? Wataweza kweli?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Wakuu Amani Iwe nanyi.

Nimeona Post Za Wasafi Kuwa Nominated Kwenye Grammy Awards 2021 lakini kila nikitafuta kwenye Official Accounts Za Grammy Sioni.

Ni Kweli Kwamba

1.Diamond Platnumz
2.RAYVANNY
3.ZUCHU

Wote hawa Wamekuwa Nominated Kwenye Grammy Awards? na Wanashindana na Nani?

Wataweza Kweliiiiii?
 
No, it's consideration watapigiwa kura wakipita ndio watakuwa nominated...By the way hongera Yao japo Kuna wa2 wataponda Sana
 
Hao watu Wana fans wengi so wakipigiwa kura nyingi wataingia kwenye Grammy awards nominees
 
Ahaa wapi davido babalao
Ahaa wapi WizKids babalao
 
sio kweli
 
No, it's consideration watapigiwa kura wakipita ndio watakuwa nominated...By the way hongera Yao japo Kuna wa2 wataponda Sana
Acheni uwongouwongo na sifa za kijinga Grammy wana official website yao na wametangaza tarehe ya 2021 awards ambayo Ni January 31 na wameeleza pia majina ya nominees bado hayajatoka kwenye Grammy hakuna kitu hicho eti consideration ya kupigiwa kura
Kwenye Grammy ni kusubiri nomination tu kutoka kwa Grammy wenyewe
Kuwa nominated tu kwenye Grammy ni bonge la bigdeal hivyo Kama Mtanzania inshallah nawaombea kila kheri wanamuziki wa Tanzania nao waweze kuwa nominated.
Either wabongo wa uswazi wanapendasana sifa za kijinga
Story nyingine ukiona jiongeze kwa kutembelea websites husika utakuta story hiyo Ni ya kweli au ni fake na pia utajikuta unapata uelewa wa mambo mengine mengi usiyoyajua kuhusu hiyo ishu
 
Labda Grammy ya tandale
Mengi aliyofanya yalionekana hayawezekani mfano kuchaji pesa nyingi ukimuita kwenye show zako, Lakin Sasa wengine wameamka, Ata hili linawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…