Ni kweli Wastara anatudanganya kuwa yupo hospitalini India?

Watanzania ni wajuaji wa kila jambo na ni watu wenye midomo mirefu sana...
Huyu dada hana sababu ya kudanganya jambo kama hilo.....
 
Hiyo canulla imegeuzwa toka lini dawa inatiririka kwenda kwenye vidole???pole kwa kuumwa kwake bt ka hizo hela anafanyia mambo mengne na sio kutibiwa basi asidanganye uma na ndio maana watu wanakasirika
Dah dada msanii sana huyu
 
Watanzania ni wajuaji wa kila jambo na ni watu wenye midomo mirefu sana...
Huyu dada hana sababu ya kudanganya jambo kama hilo.....
Aahaa bhasii sawa... Hivii Bongoo movie huwajuii eehee..?????
 
Huyu dada kuna tatizo mahali..

Kama anaweza hata kumchezesha movie mkuu wa nchi basi ameshindikana.
Mkuu wa nchi kajiingiza mwenyewe. Wengine wanawashwa sijui yeye ni nini?
 
Watanzania ni wajuaji wa kila jambo na ni watu wenye midomo mirefu sana...
Huyu dada hana sababu ya kudanganya jambo kama hilo.....
Hata mm nimesikitika sana nchi ya ajabu sana hii huyu dada hawez kufanya huo upuuz nyuz kama hiz za kufuta ni kuichafua jf tu
 
Hata mm nimesikitika sana nchi ya ajabu sana hii huyu dada hawez kufanya huo upuuz nyuz kama hiz za kufuta ni kuichafua jf tu
nimeuliza kwani nd hizo picha hapo juuu ali post
 
Bisheni ambao hamjawahi ugua au kuuguza. Kupata mshipa wa kupitisha drip siyo kitu cha utani.

Ni kwanini ugonjwa wa wastara unawaumiza vichwa?

Tamani mungu afanye miugiza ili mmpokee huo ugonjwa.
India wahudumu waswahili angalia mkono wa daktari
 
Huyu mwanamke kila ninapomuona kwny picha huwa anakuwa analia, Ana matatizo gani? Hivi yy Ndio wa kwanza kupata Ajali na kuumia?

Huwa analilia nn haswa?
Ajali imegeuka defensive mechanism yake kuishi
 
Kitaalam......cannula inatakiwa iwekwe kuelekea kwenye kucha ili dawa ipige cross yenyewe kwenda juu taratiiiiiibu.....Hii ni kuzuia dawa kumjaa mgonjwa.....

Dr Preta........
Mama Arusha by night muke ya kila bilionia wa Arusha bado uko? Siku hizi husomeki sana hapa jukwaani... kulikoni?
 
Nimekuta haya maelezo mahali, natumai inashabihiana na mjadala uliopo hapa, mimi sio ndakitari hata hivyo.

(There is nothing "dumb" about it.

Access is access. What difference does it make if the cannula is pointing toward the heart or away from it? venous blood flow in one direction, regardless of the way the IV cannula is facing.

I have inserted plenty of IVs facing away from the heart, especially in crashing nursing home pts, with severe contractures.)
 
Mama yangu walipokosa mishipa drip lilipitishwa hapo hapo.
Mamdenyi drip imewekwa sehemu sahihi lakini ueleko sio sahihi hata mama ako kama ulikuwa makini utagundua drip ilielekea juu
 
Mkuu Ww unaona Hiyo mikono inafanana Hapo? Ni mikono ya mtu mweusi Hiyo?
Ndugu, siyo hivyo. Aliyeweka picha hakuwa na maana hiyo. Ameweka picha tofauti ili kuonyesha direction sahihi ya cannula inavyochomwa kwenye mkono. Sasa ukiangalia hiyo ya huyo dada huo mkono wake uchomwaji wa hiyo cannula uko tofauti na hiyo mikoni ya wazungu ambayo ndo uchomaji sahihi. Umeelezea tofauti kabisa, kifupi hujaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…