Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Mapenzi kwa sasa ni utundu na kujituma sio mambo yale ya zamani kama waja leo wenda leo sijui...kesho
My point exactly..
Mmmmmh!I stand to be corrected; bado wanashika hatamu; hawa wengine wamechanganya mambo na uzungu mwingi; lakini wale wa Tanga wamebakisha ule uasilia; wacha kabisa ile kitu waweza uza mji!
Mi hapa naomba nisichangie kwa sababu ya conflict of interest