Ni kweli waya wa earth mbovu unasababisha umeme kutumika mwingi?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka

Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa
 
Technically Jibu ni NO

Tena hivyo vitu vikiwa vizima ndio vunaweza kusababisha umeme kulika

Earthing system ikiwa inafanya kazi sawia inaweza ikawa chanzo cha kula umeme na ikiwa mbovu haiwezi kula umeme.

Naomba nieleweke

Earthing ikiwa nzima itavilinda vifaa vyako dhidi ya Radi/ Surge, leakage ( Lakini pia inasababisha kula umeme [Minor issue] kama kama RCD/ELCB yako ina sensitivity ndogo

Lakini kama RCCD/RCD/ELCB yako ipo mwake basi ikitokea leakage CB yako itazima until umetatua kesi

Kwa swali lako jibu ni Hapana, aliyetoa hiyo idea ni layman hajui alichoongea
 
Shukrani kwa huu ufafanuzi maana hata mimi nilisikia hivyo siku za nyuma , hapa nikawa namvutia kasi mzee pale home nimwambie kuhusu kuchimbua hiyo earth rod inatafuna umeme wake maana ishapita miaka mingi sana tokea ifukiwe
 
Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka

Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa
Hapana.
Earth inasababisha umeme kwenda zaidi endapo katika wiring itakutana au kugusana na Live wire.

Kitendo hicho cha Live-Earth kugusana, husababisha matumizi ya umeme ambayo hayana msingi na matumizi hayo huongezeka zaidi kama Earth connection ya nyumba husika ipo active vizuri. Ila kama Earth /Earth Rod imechoka haitakuwa na madhara sana katika kuongeza matumizi ya umeme
 
Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka

Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Hii ni kweli kabisa na ilishawahi kunitokea.
 
Technically Jibu ni NO

Tena hivyo vitu vikiwa vizima ndio vunaweza kusababisha umeme kulika

Earthing system ikiwa inafanya kazi sawia inaweza ikawa chanzo cha kula umeme na ikiwa mbovu haiwezi kula umeme.

Naomba nieleweke

Earthing ikiwa nzima itavilinda vifaa vyako dhidi ya Radi/ Surge, leakage ( Lakini pia inasababisha kula umeme [Minor issue] kama kama RCD/ELCB yako ina sensitivity ndogo

Lakini kama RCCD/RCD/ELCB yako ipo mwake basi ikitokea leakage CB yako itazima until umetatua kesi

Kwa swali lako jibu ni Hapana, aliyetoa hiyo idea ni layman hajui alichoongea
Wewe ndo hujui lolote. Mimi hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka nilipobadilisha ndo mambo yakakaa sawa.
 
Dah..mengine naingia mkono hoja...Ila hapo kwenye earthwire kulinda vifaa dhidi ya Radi/ surges sayansi yake sijaelewa...maana Kila nikikakuleti hapa naona kifaa kilichofungwa Earth kipo hatarini kupigwa na Radi ya moja kwa moja kuliko kile ambacho hakijafungwa 🤣🤣🤣🤭
 
Wewe ndo hujui lolote. Mimi hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka nilipobadilisha ndo mambo yakakaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...Dogo Kuna mahali umejichanganya...Earth rod mbovu Ni Ile isiyokuwa na connection na ground....na nzima Ni Ile yenye connection....Sasa ikiwa mbovu huo umeme unaoliwa utapitia wapi? 🤣🤣🤣🤪
 
NINI KINASABABISHA UMEME KUTUMIKA ZAIDI???????????????????????
Kuna mtu ameishakomenti hapo juu,kama live wire zako kuna sehemu zimegusana na earthing wire halafu circuit breaker yako haifanyi kazi vizuri kuweza kutrip sababu ya hilo kosa basi umeme utakuwa unalika kwa sana,hii imewahi kunitokea kwenye nyumba ylniliyokuwa napanga miaka ya nyuma,ilikuwa ardhi yote inakiwa ya moto ya sehemu ilipochimbiwa earth rode.kwa hiyo mfumo wa umeme ni mtambuka unahitaji kuwa na vitu vifaa vyote vizima.
 
Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka

Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Huyo mtu anayedai umeme unaisha haraka (unapotea kusikojulikana) mshauri afanye simple test hii:
Azime switch zote za nyumbani kwake baada ya kurekodi units zilizopo kwenye luku yake. Asubiri masaa matatu hadi sita halafu acheki tena units kwenye luku yake.

Kama atakuta units kwenye luku yake zimepungua baada ya kipindi hicho alichokuwa amezima switch zote, basi ni kweli kuna sehemu ambayo haijulikani umeme unakokwenda. Aite qualified fundi wa umeme aitafute hiyo sehemu isiyojulikana umeme unakokwenda. Huyo fundi akisema huo umeme unaenda kwenye earth rod au earth wire iliyochoka mfukuzie mbali kwani atakuwa ni fundi umeme kajanja.

NB: Main switch usiizime during the test
 
Mkuu hii ilishsnitokea siongei pumba. Usiku nilikuwa nazima kila kitu asubuhi nakuta unit 6 mpaka saba hamna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ilishsnitokea siongei pumba. Usiku nilikuwa nazima kila kitu asubuhi nakuta unit 6 mpaka saba hamna.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu. Kama ni hivyo basi tafuta haraka a qualified electrical technician aliye mwaminifu na asiye mbabaishaji. Shida mafundi umeme wengi mitaani ni wabahatishaji na wababaishaji sana. Tatizo linaweza likawa dogo tu lakini unaweza ukajikuta unafanya karibu wiring upya.
 
Kuna mtu ameishakomenti hapo juu,kama live wire zako kuna sehemu zimegusana na earthing wire halafu circuit breaker yako haifanyi kazi vizuri kuweza kutrip sababu ya hilo kosa basi umeme utakuwa unalika kwa sana,hii imewahi kunitokea kwenye nyumba ylniliyokuwa napanga miaka ya nyuma,ilikuwa ardhi yote inakiwa ya moto ya sehemu ilipochimbiwa earth rode.kwa hiyo mfumo wa umeme ni mtambuka unahitaji kuwa na vitu vifaa vyote vizima.
Thank you...
 
Back
Top Bottom