Shukrani kwa huu ufafanuzi maana hata mimi nilisikia hivyo siku za nyuma , hapa nikawa namvutia kasi mzee pale home nimwambie kuhusu kuchimbua hiyo earth rod inatafuna umeme wake maana ishapita miaka mingi sana tokea ifukiweTechnically Jibu ni NO
Tena hivyo vitu vikiwa vizima ndio vunaweza kusababisha umeme kulika
Earthing system ikiwa inafanya kazi sawia inaweza ikawa chanzo cha kula umeme na ikiwa mbovu haiwezi kula umeme.
Naomba nieleweke
Earthing ikiwa nzima itavilinda vifaa vyako dhidi ya Radi/ Surge, leakage ( Lakini pia inasababisha kula umeme [Minor issue] kama kama RCD/ELCB yako ina sensitivity ndogo
Lakini kama RCCD/RCD/ELCB yako ipo mwake basi ikitokea leakage CB yako itazima until umetatua kesi
Kwa swali lako jibu ni Hapana, aliyetoa hiyo idea ni layman hajui alichoongea
Hapana.Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka
Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa
Vifaa ulivyonavyo, kuanzia taa mpaka jiko la umeme, ukitaka umeme usitumike usitumie vifaa vya umeme.NINI KINASABABISHA UMEME KUTUMIKA ZAIDI???????????????????????
Hii ni kweli kabisa na ilishawahi kunitokea.Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka
Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Wewe ndo hujui lolote. Mimi hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka nilipobadilisha ndo mambo yakakaa sawa.Technically Jibu ni NO
Tena hivyo vitu vikiwa vizima ndio vunaweza kusababisha umeme kulika
Earthing system ikiwa inafanya kazi sawia inaweza ikawa chanzo cha kula umeme na ikiwa mbovu haiwezi kula umeme.
Naomba nieleweke
Earthing ikiwa nzima itavilinda vifaa vyako dhidi ya Radi/ Surge, leakage ( Lakini pia inasababisha kula umeme [Minor issue] kama kama RCD/ELCB yako ina sensitivity ndogo
Lakini kama RCCD/RCD/ELCB yako ipo mwake basi ikitokea leakage CB yako itazima until umetatua kesi
Kwa swali lako jibu ni Hapana, aliyetoa hiyo idea ni layman hajui alichoongea
Dah..mengine naingia mkono hoja...Ila hapo kwenye earthwire kulinda vifaa dhidi ya Radi/ surges sayansi yake sijaelewa...maana Kila nikikakuleti hapa naona kifaa kilichofungwa Earth kipo hatarini kupigwa na Radi ya moja kwa moja kuliko kile ambacho hakijafungwa 🤣🤣🤣🤭Technically Jibu ni NO
Tena hivyo vitu vikiwa vizima ndio vunaweza kusababisha umeme kulika
Earthing system ikiwa inafanya kazi sawia inaweza ikawa chanzo cha kula umeme na ikiwa mbovu haiwezi kula umeme.
Naomba nieleweke
Earthing ikiwa nzima itavilinda vifaa vyako dhidi ya Radi/ Surge, leakage ( Lakini pia inasababisha kula umeme [Minor issue] kama kama RCD/ELCB yako ina sensitivity ndogo
Lakini kama RCCD/RCD/ELCB yako ipo mwake basi ikitokea leakage CB yako itazima until umetatua kesi
Kwa swali lako jibu ni Hapana, aliyetoa hiyo idea ni layman hajui alichoongea
Dah...Dogo Kuna mahali umejichanganya...Earth rod mbovu Ni Ile isiyokuwa na connection na ground....na nzima Ni Ile yenye connection....Sasa ikiwa mbovu huo umeme unaoliwa utapitia wapi? 🤣🤣🤣🤪Wewe ndo hujui lolote. Mimi hii kitu ilishawahi kunitokea mpaka nilipobadilisha ndo mambo yakakaa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu ameishakomenti hapo juu,kama live wire zako kuna sehemu zimegusana na earthing wire halafu circuit breaker yako haifanyi kazi vizuri kuweza kutrip sababu ya hilo kosa basi umeme utakuwa unalika kwa sana,hii imewahi kunitokea kwenye nyumba ylniliyokuwa napanga miaka ya nyuma,ilikuwa ardhi yote inakiwa ya moto ya sehemu ilipochimbiwa earth rode.kwa hiyo mfumo wa umeme ni mtambuka unahitaji kuwa na vitu vifaa vyote vizima.NINI KINASABABISHA UMEME KUTUMIKA ZAIDI???????????????????????
Huyo mtu anayedai umeme unaisha haraka (unapotea kusikojulikana) mshauri afanye simple test hii:Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka
Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka kwasababu earth rod ya nyumba ni ya miaka mingi sana na haijawahi badilishwa
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Mkuu hii ilishsnitokea siongei pumba. Usiku nilikuwa nazima kila kitu asubuhi nakuta unit 6 mpaka saba hamna.Huyo mtu anayedai umeme unaisha haraka (unapotea kusikojulikana) mshauri afanye simple test hii:
Azime switch zote za nyumbani kwake baada ya kurekodi units zilizopo kwenye luku yake. Asubiri masaa matatu hadi sita halafu acheki tena units kwenye luku yake.
Kama atakuta units kwenye luku yake zimepungua baada ya kipindi hicho alichokuwa amezima switch zote, basi ni kweli kuna sehemu ambayo haijulikani umeme unakokwenda. Aite qualified fundi wa umeme aitafute hiyo sehemu isiyojulikana umeme unakokwenda. Huyo fundi akisema huo umeme unaenda kwenye earth rod au earth wire iliyochoka mfukuzie mbali kwani atakuwa ni fundi umeme kajanja.
SawaDah...Dogo Kuna mahali umejichanganya...Earth rod mbovu Ni Ile isiyokuwa na connection na ground....na nzima Ni Ile yenye connection....Sasa ikiwa mbovu huo umeme unaoliwa utapitia wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957]
UlifanyajeMkuu hii ilishsnitokea siongei pumba. Usiku nilikuwa nazima kila kitu asubuhi nakuta unit 6 mpaka saba hamna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimleta fundi akabadilisha ile nondo inayochimbiwa chini akaweka nyingine tatizo likaisha.
Pole sana mkuu. Kama ni hivyo basi tafuta haraka a qualified electrical technician aliye mwaminifu na asiye mbabaishaji. Shida mafundi umeme wengi mitaani ni wabahatishaji na wababaishaji sana. Tatizo linaweza likawa dogo tu lakini unaweza ukajikuta unafanya karibu wiring upya.Mkuu hii ilishsnitokea siongei pumba. Usiku nilikuwa nazima kila kitu asubuhi nakuta unit 6 mpaka saba hamna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you...Kuna mtu ameishakomenti hapo juu,kama live wire zako kuna sehemu zimegusana na earthing wire halafu circuit breaker yako haifanyi kazi vizuri kuweza kutrip sababu ya hilo kosa basi umeme utakuwa unalika kwa sana,hii imewahi kunitokea kwenye nyumba ylniliyokuwa napanga miaka ya nyuma,ilikuwa ardhi yote inakiwa ya moto ya sehemu ilipochimbiwa earth rode.kwa hiyo mfumo wa umeme ni mtambuka unahitaji kuwa na vitu vifaa vyote vizima.