Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 28, 2023 #1 Kuna historia zinadai kuwa Wayahudi walikuwa ni watu weusi na walipoondoka israeli mpaka wanarudi sio wayahudi wale. Ilo linathibitishwa na vitabu vingi ni kweli?
Kuna historia zinadai kuwa Wayahudi walikuwa ni watu weusi na walipoondoka israeli mpaka wanarudi sio wayahudi wale. Ilo linathibitishwa na vitabu vingi ni kweli?
R Richard spencer JF-Expert Member Joined Feb 22, 2021 Posts 1,225 Reaction score 1,993 Feb 28, 2023 #2 Ni uongo. wazungu na watu weusi hawana asili ya mashariki ya kati.
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,413 Reaction score 4,020 Feb 28, 2023 #3 wale wa escape from sobibor mbona wazungu