Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
SHHH NISIKILIZE
Ni kweli wewe ni rafiki yangu kama unavyosema, Pia ni kweli kabisa maneno unayoniambia ya jinsi ambavyo walikua wananizungumzia vibaya,wakati sikuepo.!
Ila kinachonipa ukakasi akilini kwangu ni kwamba, Walitoa wapi ujasiri wa kuzungumza upuuzi wote,mbele yako
Wakati wanajua wewe ni rafiki yangu..?.🥸🥸😎😎
: Erooh Ukimya wangu haumaanishi kwamba nakubaliana nawewe,
Bali kiwango cha upumbavu wako kinanifanya nikose maneno ya kuchangia kabisa 😎😎😎
Kama kutokuwepo kwako hakuwasumbui kabisa...Hio ni tafsiri halisi ya kwamba hata uwepo wako awali haukuwahi kitu kabisa...😎😎
Acha kujipa umuhimu ambao hauna kwenye maisha ya watu😎
: Usiwe mwepesi wa kuyaamini maneno matamu, Kwa maana siku hizi midomo ya watu imejaa sukari,
Lakini mioyo yao imetunza SUMU.🥸😎😎
: Mafanikio ni Siri,Kwaio siri ya mafanikio Ndio SIRI yenyewe.🥸🥸🥺🥺
: Usitumie Nguvu,Muda,Akili na Pesa yako Kufukuzia vipepeo.
Tumia Nguvu hizo,Muda huo na Pesa yako...Kutengeneza na kuiandaa vema bustani yako....Maana vipepeo wataikimbilia wenyewe🤪🤪🤪🧐
: Usikate Tamaa joh..! Mapambano magumu ni kwajili ya Askari shupavu na Hodari....katika mbinu🤯🧐🥺
: Tambua maumivu makali sana siku zote hayatoki kwa watu ambao ni maadui zetu...
Bali huandaliwa,kupikwa na kuletwa mezani na kulishwa na watu ambao tumewapenda na kuwaamini.
Ndio maana maumivu yake huchoma zaidi Akili,na kuunguza moyo🧐🧐penda kiasi,Amini kiasi.
: Tambua sikuizi watu hawatetei kilicho sahihi na cha haki,Bali hujiunga na kutetea upande ambao watanufaika nao...🧐🧐🥺🥺
:Usiziamini sana sauti za marafiki na jamaa ambazo kwenye shida zinasema tuko pamoja....usijali tuko nyuma yako
Maana unaweza kugeuka nyuma usimuone hata mmoja..😇🤠🤠
#foryouシpage #illuminateyourspace #philosopher #knowledgeispower #philosophyoflife #nature
Content created by : Dogoli kinyamkela
: