Nahisi harufu ya fix hapa; lkn kama ni kweli, mdodose jinsi gani kuruka ukuta kunaimarisha ndoa? Mimi ningefikiri upendo wa dhati na uaminifu ndio huimarisha ndoa!
Pili muulize, huko next door kuna nini anachokosa main house? Why did he marry a woman in the first place? (abdullah ameona dalili za ushoga, l can't aggree more)
Here is a half stupid answer kwa swali la pili! Kama main house kumeloosen u can fanya zoezi la kukaza masoz itasaidia, au kama kimkuki chake kiduchu, awavisit wachina!
Last but not least, kuna ulimbukeni wa wanaume after stupid vijiwe talk kuwa mafirauni! This is very but, u can enjoy ur sex life bila hiyo kitu aisee, creativity zenu zinabase kwenye porn movies ambazo actors n actress r just sex slaves and l mean real slaves ambao r forced to do anything; nyie kwa kuiga kila kitu ndio mnaona wazungu mnaowaabudu kuwa ndio love/sex life yao!
Salimia don't be a victim, hakuna ndoa inayoimarishwa na ufirauni; anakythreat tu huyo, kuwa ukikataa atatafuta wengine, let him go!