Edo nyanda
Member
- Apr 6, 2014
- 46
- 5
hapana si kijijini sanaEbwana eh.. Shule yenu ipo msituni nini?
hv ni kweli mfumo wa upangaji max umebadilika??
n kwel
Jamani wadau pamoja na wale tuliomaliza form 6,hivi ni kwel serikali haijatengeneza Leaving certificate? Maana headmaster wetu katuambia bado hazijaletwa,tujuzane please kama nyie wengine mnazo
Jamani wadau pamoja na wale tuliomaliza form 6,hivi ni kwel serikali haijatengeneza Leaving certificate? Maana headmaster wetu katuambia bado hazijaletwa,tujuzane please kama nyie wengine mnazo
Ya itakuwa ni kweli bob coz ata huku katuambia hivyo kuwa mwaka huu na hata kidato cha nne walio maliza mwaka jana nao hawajapata leaving C
hahaah. leaving certificates zinatumika wap cku hizi? za kwangu nshazisahau nlipoweka.
umekuaje wa sasa?
subiri ntakuwekea