kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Ndiyo, ni LAZIMA, ingawaje Sheria zinatungwa ili zivunjwe.Moja kwa moja kwenye mada, Nauliza ni lazima upate kibali cha ujenzi ndipo uanze kujenga ? Na hiko kibali kinapatikana wapi, Gharama yake kiasi gani, umuhimu wa hiko kibali,
Naomba maelekezo zaidi jamani mliowahi kujenga .
Hata kama eneo au Ardhi husika bado haijapimwa, kupata Kibali cha Ujenzi ni LAZIMA. Hilo ni takwa la kisheria.Eneo lako limepimwa? Tuanzie hapo kwanza
Sikupingi mkuu,Ndiyo, ni LAZIMA, ingawaje Sheria zinatungwa ili zivunjwe.
Hata kama eneo au Ardhi husika bado haijapimwa, kupata Kibali cha Ujenzi ni LAZIMA. Hilo ni takwa la kisheria.
1. Ni lazima kupata kibali cha ujenzi kwa sheria zetuMoja kwa moja kwenye mada, Nauliza ni lazima upate kibali cha ujenzi ndipo uanze kujenga ? Na hiko kibali kinapatikana wapi, Gharama yake kiasi gani, umuhimu wa hiko kibali,
Naomba maelekezo zaidi jamani mliowahi kujenga .
1. Uko sahihi, kupata Kibali cha Ujenzi ni suala la LAZIMA kwa mujibu wa Sheria za nchi.1. Ni lazima kupata kibali cha ujenzi kwa sheria zetu
2. Kibali kinapatikana halmashauri ya mji husika
3. gharama ni 200k kwa maeneo yasiyopimwa, kama pamepimwa ni kwa square meter za jengo,
4. umuhimu ni kujihakikishia usalama wa jengo lako na kukuwezesha kupata mkopo kwenye taasisi za kifedha na pia husaidia kuepusha migogoro ya ardhi. LAITI kama kila anaejenga atafata kanuni zote za kupata kibali cha ujenzi basi itasaidia sana kuondoa kero ya migogoro ya ardhi.
Yes kwenye gharama sijaweka details zote...nime assume kwa DSM Ili apate picha,1. Uko sahihi, kupata Kibali cha Ujenzi ni suala la LAZIMA kwa mujibu wa Sheria za nchi.
2. Uko sahihi pia, Kibali cha Ujenzi utakipata kutoka Ofisi za Halmashauri ya Wilaya, Mji, Manispaa au Jiji.
3. Sidhani kama utakuwa uko sahihi.
Gharama hutegemeana na sababu mbalimbali, kama vile: Mahali pa ujenzi, ukubwa wa jengo linalotakiwa kujengwa, hali ya Ardhi yenyewe, Soil Investigation Report, or EIA Reports, n.k, n.k.
4. Yes, kwa kiasi fulani Kibali cha Ujenzi kinasaidia kuondoa au kuepusha migogoro ya Ardhi.
Aidha, Vibali vya Ujenzi pia husaidia katika Kudhibiti Ujenzi holela usiokidhi Viwango Bora vya Kiusalama kwa Wakaazi.
Urasimu ndiyo kikwazo kikubwa kwa wengi, gharama ya kupata kibali (mlungura) ni kubwa kuliko matazamioNdiyo, ni LAZIMA, ingawaje Sheria zinatungwa ili zivunjwe.
Hata kama eneo au Ardhi husika bado haijapimwa, kupata Kibali cha Ujenzi ni LAZIMA. Hilo ni takwa la kisheria.
Sheria zinatamka kwamba Mwombaji wa Kibali cha Ujenzi (Building Permit) ni LAZIMA awe Mmiliki halali wa ARDHI ambayo ujenzi husika untakiwa kufanyika.
Aidha, ukisoma tafsiri ya kisheria ya neno "ARDHI" kwenye Sheria za Ardhi, utaona kwamba imeelezea aina zote kabisa za Ardhi kwa ujumla wake, yaani imejumuisha Ardhi iliyopimwa (surveyed land) na Ardhi isiyopimwa (unsurveyed land), Sheria hazijatenganisha kuhusu suala hili kwamba Kibali cha Ujenzi kinatakiwa kuombwa kwenye Ujenzi unaofanyika kwenye Ardhi iliyopimwa tu peke yake.
Vibali ni miradi ya serikali za mitaaMoja kwa moja kwenye mada, Nauliza ni lazima upate kibali cha ujenzi ndipo uanze kujenga ? Na hiko kibali kinapatikana wapi, Gharama yake kiasi gani, umuhimu wa hiko kibali,
Naomba maelekezo zaidi jamani mliowahi kujenga .
Nenda Ofisi za Manispaa uliyopo anzia Ofisi ya Mipango miji na Ardhi watakupa Utaratibu.Moja kwa moja kwenye mada, Nauliza ni lazima upate kibali cha ujenzi ndipo uanze kujenga ? Na hiko kibali kinapatikana wapi, Gharama yake kiasi gani, umuhimu wa hiko kibali,
Naomba maelekezo zaidi jamani mliowahi kujenga .
Ukimaanisha nini hapo kwenye "serikali za mitaa"?Vibali ni miradi ya serikali za mitaa
Hutaki wapate za kubrashia viatu na kutolea vumbi kwenye makoo yao?Nenda Ofisi za Manispaa uliyopo anzia Ofisi ya Mipango miji na Ardhi watakupa Utaratibu.
Ila uwe na Original 1 na Copy tatu za michoro ya nyumba yenye Mhuri wa Archtect na Kama ni ghorofa iwe na Mhuri wa Engineer.
All the best ila wengi watumishi wanapenda sana Rushwa kuwa makini