Ni lazima kupenga kamasi kila unapooga ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Kuna mpangaji wangu ni kama anaboa sana.

Kila akiingia bafuni utasiki 'pyeee…'. akipenga kamasi lake. Na sijui huwa analipaka wapi huko bafuni.

Kuna ulazima wowote wa kupenga kamasi kina unapooga ?
 
vin diesel nuksi anapaisha gari hadi mbinguni
 
Kwa Mimi nadhani ni response ya mwili maji yanapopita maeneo ya kichwani hasa usoni. Msisimko wa pingili za pua.

Ndo maana huwezi kusikia mtu anapenga kamasi anapotoa haja, zaidi zaidi mtu atatema mate tu.
 
Huyo kajijengea mazoea hayo
Wengine tunaoga kimyakimya husikii kupenga kamasi wala kukohoa
 
Sijui kwenye infinity war IV, nani atamuua Thanos.. [emoji15]
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Sasa wewe hujakaa na wale mnakula unaona anachukua leso na kuanza kupenga hapo hapo mezani - I hate that
Kuna mpangaji wangu ni kama anaboa sana.

Kila akiingia bafuni utasiki 'pyeee…'. akipenga kamasi lake. Na sijui huwa analipaka wapi huko bafuni.

Kuna ulazima wowote wa kupenga kamasi kina unapooga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…