Ni lazima kwenda TFDA nikitaka kuanza kuuza vipodozi kama mafuta, relaxer, pafyum, na vipodozi vingine?

Madam vivian original

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
503
Reaction score
997
Wabari za kazi wakuu.
Huko nyuma nilileta Uzi kuhusu TRA kunikadilia kodi kubwa tofauti na biashara,

Nikachukua ushauri wenu wengi wakiniambia niende kwa meneja wa tawi lakin hakunielewa kaniambia pambana ukishindwa andika barua alafu ufunge biashara.

Nikaona acha nipambane kufunga tena na nimeshanunua vifaa itakua nimepoteza, baada ya kukaa na kifikilia kujikwamua kimaisha nikaona niongeze biashara nyingine ndani ya fremu yangu ya salon ya kike ili nisipate hasara SNA maana biashara imekua ngumu SNA.

Nataka niuze na vipodozi kama mafuta, relaxer, pafyum, na vipodozi vingine, lakin kuna rafiki yangu ananitisha anasema nikiweka vipodozi inabidi niende office za TFDA ili wakague LA sivyo wakinikuta watanitaifisha.

Lakini Nina Tin no na leseni ya jiji kwan lazima kwenda huko TFDA nishaurin kabla cjafanya maamuzi us kuweka vipodozi wasije wakanifunga jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani uko nje ya ofisi za tra maana unawaogopa sana si tunabiashara kubwa tu lakini bado tunawakwepa kuilipa serikali inavo taka utoweza kabsa
 
Kama vipodozi unatengeneza mwenyewe nenda tfda ila kama unanunua haina haja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…