Ni lazima sehemu ya uume ikatwe??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwenu wana jf..kuna hili swala la kukatwa jando sasa kuna wengine wameamua kuwaacha watoto zao wa kiume mpaka wanaoa unakuta mkewe anamwambia inabidi ukate...sasa basi yawezekana ni utamaduni wa wazungu leo hii tumerudi kwenu je ni lazima kila mwanaume akatwe uume yaani jando..na muda gani mzuri wa kukata ukubwani utotoni???

Alamsiki
 
Kwa nini zinakatwa? Hazina kazi?
 
Govi kazi yake tusaidie
 

Kwa nini zinakatwa? Hazina kazi?

Govi kazi yake tusaidie

kukata sio lazima, unaweza kuacha tu, lkn kiustaarabu kukata govi ni muhimu!
 
Kukata/kutahiri ni mila na desturi za watu wengi na sidhani kama iliaanzia kwa wazungu,hebu tuulize na kwa waarabu je?

Kutahiri ukiwa mdogo ni nzuri zaidi kwani mara nyingi mtoto hana hisia zinazofanya uume wake "kusimama" tofauti na ukishakuwa mkubwa ambapo,kama hisia zikipanda na uume kusimama maumivu yatakuwa makali.

Kama hujatoa govi wakati wa tendo unaweza kuhisi maumivu hasa kama upo na mwanamke mwenye sehemu zake sio "kubwa" kwani govi hujisokota na kuwa kama mtu analivuta kwa juu kuelekea kwenye shina lake.

Pia unaweza kupata magonjwa mengi yanayosababishwa na bakteria kutokana na uchafu kujificha kwenye govi hata kupata vvu ni rahisi kutokana na michubuko.

NIANGUSAGE SAMBI SOTE SAKO, MPO?
Nimuhimu kutahiri kwa ajili ya usafi na kujikinga na maradhi mbalimbali.
 
Govi kazi yake tusaidie

Lina faida zake. Ni vema ukampa mtoto wako haki ya kuamua juu ya mwili wake. Ukimkata akiwa mdogo, si rahisi kulirudisha endapo angependa abaki nalo!


Wataalamu wanatuambia kwa uchache govi lina faida/kazi zifuatazo:
  1. Erotic pleasure, especially via the ridged band and Meissner's corpuscles
  2. Acts as a rolling bearing in intercourse and masturbation
  3. Prevents dyspareunia (painful intercourse)
  4. Stimulates partner's genitalia, giving erotic pleasure
  5. Supplies skin to cover the shaft in erection and prevent tightness
  6. Stores pheromones and releases them on arousal
  7. Stores, releases and helps distribute natural lubricants ("smega" and pre-ejaculatory fluid)
  8. Makes the glans a visual signal of sexual arousal
  9. Provides a seal against the vaginal wall to contain semen
  10. Prevents the glans becoming keratinised, and keeps it soft and moist
  11. Protects the thin-skinned glans against injury
  12. Protects the nerves of the glans, retaining their erotic function
  13. In infancy, protects the urethra against contamination, meatal stenosis, (and UTIs?)
  14. Provides lysosomes for bacteriostatic action around the glans
  15. Pigmented, it protects the unpigmented glans against sunburn
  16. Vascular (rich in blood vessels that bring heat to the tissues), it protects the less vascular glans against frostbite, as Sir Ranulph Fiennes found on his epic transpolar walk.
 
unajuwa wanawake wanapenda 10% off kwa kila kitu hata hapo pia wanafurahia 10% off
 
disadvantages
Ni kama mikono ya sweta la shule ya arusha school
inatunza uchafu (utoko) hivyo hata blow-job ni mandanda
Kichwa hakikomai hivyo ukimwi nje-nje
sura yake ni soo (kama uso wa kenge)
Halufu-halufu
 
disadvantages

  1. Ni kama mikono ya sweta la shule ya arusha school
  2. inatunza uchafu (utoko) hivyo hata blow-job ni mandanda
  3. Kichwa hakikomai hivyo ukimwi nje-nje
  4. sura yake ni soo (kama uso wa kenge)
  5. Halufu-halufu
  6. Ukimwi nje nje
 
Ikikwata jamani inapendeza....sipati picha iwe haijakatwa sasa sijui style cone kama itafanyika hapo.
 
  1. Ni kama mikono ya sweta la shule ya arusha school

Umenikumbusha mbali kweli!


disadvantages

inatunza uchafu (utoko) hivyo hata blow-job ni mandanda

Hiyo inaitwa 'smegma', ina kazi yake! Hapo kwenye blow job ni kweli inakuwa ngumu (lakini mbona watu wanazama kwenye clit wakati nako kuna hii kitu?). Au hii inaweza kuwa justification ya kukeketa wanawake pia?

Kichwa hakikomai hivyo ukimwi nje-nje
Suala la ukimwi bado ni tete sana. Kimsingi 'kichwa' hakitakiwi kuwa na ngozi ngumu.
sura yake ni soo (kama uso wa kenge)
Halufu-halufu
Nimebaki nacheka tu. Na likiwa 'jeusi tii' ndo usiseme😀!
 
ila nasikia ambazo hazijakatwa zina uzuri wakenilisikia masisiteri fulani wa kinyaru wanaongea tukiwa kwenye kparty
 
disadvantages
Ni kama mikono ya sweta la shule ya arusha school
inatunza uchafu (utoko) hivyo hata blow-job ni mandanda
Kichwa hakikomai hivyo ukimwi nje-nje
sura yake ni soo (kama uso wa kenge)
Halufu-halufu
hahahaaa so interesting!!!
 
Hivi 'wanyalu' hawana mila ya kukata?

hawana wanasema kukata ni kwa waisilamu. ila nasikia wana ya kuvuta kwa wanawake mimi sijui wanavyofanya . ni antena tu imekusanya mawimbi.
 

Mkuu hayo maneno nadhani niliyaandika under influence, yaani nimesoma leo hadi nimepata kibaridiiii

Kweli dunia ni watu

Anyway, ndio risk ya blogging!!
 
Sio utamaduni wa kizungu hata kidogo, this is African culture
Muda mzuri ni wakati mwanaume akiwa mkubwa kuanzia miaka kumi na nane na kuendelea as Maasai doing.
Kama unataka zaidi, you must pay consultation fee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…