Ni lazima tugawanyike; Lazima tusiwe na umoja! -Yes I said it


Exactly,
Naona unajisema mwenyewe hoja yako imeegemea kwenye group thinking ..kwa hao wanazuoni uliowaweka hapo
 
Exactly,
Naona unajisema mwenyewe hoja yako imeegemea kwenye group thinking ..kwa hao wanazuoni uliowaweka hapo

Kati ya wanaotaka "umoja", which means kwamba watu wafikiri sawa na kuishi sawa, na anaye advocate ingenuity and lone wolf mentality, nani yupo katika groupthink?

Unaelewa maana ya groupthink?
 
"Demokrasia haipo kwenye kupiga kura, bali kuhesabu kura"
 
"Demokrasia haipo kwenye kupiga kura, bali kuhesabu kura"

Demokrasia haipo kwenye kupiga kura wala kuhesabu kura. Kwa sababu zoezi zima la kupiga kura ni sehemu ndogo tu ya demokrasia, demokrasia ni kitu kikubwa zaidi ya kura.
 

Ndiyo mgawanyiko tayari tunao lakini si ambao tunautaka wa 90/10 tunataka mgawanyiko angalau wa 50/50 kama ulivyo zanzibar hapo ndipo utakapoona maendeleo hata bungeni hoja dhaifu haipiti kirahisi

hata kwenye ngazi ya familia baba akiwa na nguvu ya maamuzi kwa asilimia 90 huwezi kusema huo ni mgawanyiko fair ni mgawanyiko unaoumiza upande mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…