Ni lazima yanga imfunge Geita leo

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Kwa jicho la tatu naona kabisa point muhimu zote tatu zibebwa na Yanga Leo

Mwenye kubisha abishe ila ukweli ndo huo wakuu
 
Karibu sana Jamii forum
HAPA ni Home of Great thinkers.

Jitahidi Katika kuwasilisha mada JARIBU kujenga hoja NZITO si Mradi umeandika tu.

Weka hoja kama Ifuatavyo.
Naona ayanga Ikipata Alama tatu Muhimu kwa sababu ZIFUATAZO.

1.
2.
3.
4.
6.
6.
7. YANGA Ina Quality ya Wachezaji wenye UWEZO WA juu sana ukilinganisha na Mpinzani wake
Kwa sababu.........................

8.

Usilete Mambo ya Kitoto na ya FB.
Unajaza Seva za Jamii Forum bila hoja za msingi
 
NASISITIZA kauli maarufu ya msemaji WA Yanga Haji Sanday Manara.

YANGA WATU wenye AKILI ni wawili tu.
1. Mzee KIKWETE.
2. Mzee Manara.

WENGINE Wote ni WAJINGA, MBUMBUMBU na WAPUMBAVU.
 
Hata kwenye mechi na Ihefu ilikuwa ishinde. Ila uzembe wa Diarra na kocha wake Garmond ndiyo umesababisha Yanga kuonekana ni timu laini tu kwenye huo uwanja wa Highland estate.
 
Ni kweli mkuu makosa yalitugharimu sana mbalari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…