Ni lengo Moja tu Simba limefanikiwa msimu huu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
MALENGO YA SIMBA 2023/24 PLAN A[emoji116]

[emoji735] KUFIKA NUSU FAINAL CAFCL
[emoji735] UBINGWA FA
[emoji735] UBINGWA NBC

PLAN B

[emoji735] FEI TOTO kutwaa ufungaji bora
[emoji735] Simba kushiriki Klabu Bingwa
[emoji736] Ray Matampy kuwa na Clean Sheet nyingi [emoji2957]

[emoji51]
1709751978174.jpg
 
[emoji51]View attachment 3002920
Hatari hii.
 
Kispika anatunga uongo wa kuwajaza mambumbumbu hapo.
 
Hawa jamaa badala ya kwenda mbele wanarudi nyuma, walianza na ubingwa, wakaja namba mbili, na sasa namba tatu, mwakani wanweza kua namba nne..wanahitaji maombi kama mtibwa sugar.
 
Msimu ujao naskia watapoteana kabisa
 
Back
Top Bottom