Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

High school wapo wachache ila wengi niliwapata chuo na hao wengi ni marafiki nje ya chuo na ni marafiki wa maana kweli kweli
 
Urafiki wa shuleni ulikuwa ni wa kinafiki maana, ukimaliza shule na urafiki mara nyingi huwa unavunjika taratibuuu

Ila huku kitaa ndio marafiki wa maana nilikowapata,
 
Haha level zote zina marafiki ila sio wa uhakika, siku wakikupiga kibomu ndio unashtuka hawakuwa marafiki.
 
Back
Top Bottom