Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

O-level,maana mmoja wapo ndiye kanifanya niwepo nilipo,huyo ni zaidi ya ndugu.
 
High school wapo wachache ila wengi niliwapata chuo na hao wengi ni marafiki nje ya chuo na ni marafiki wa maana kweli kweli
 
Urafiki wa shuleni ulikuwa ni wa kinafiki maana, ukimaliza shule na urafiki mara nyingi huwa unavunjika taratibuuu

Ila huku kitaa ndio marafiki wa maana nilikowapata,
 
Haha level zote zina marafiki ila sio wa uhakika, siku wakikupiga kibomu ndio unashtuka hawakuwa marafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…