Nitajie ligi ambayo timu zote zinagombania ubingwa with evidenceKuna moja ni timu tatu tu zinagombania ubingwa,
Kuna nyingine, timu ni moja utmost mbili.,
Kuna nyingine, timu ni moja tu.
Kuna nyingine timu ni mbili tu.
Kuna nyingine timu zote zinagombania ubingwa.
Chagua mwenyewe ipi bora hapo
EplNitajie ligi ambayo timu zote zinagombania ubingwa with evidence
Evidence please
Hebu tucheck hizi ligi tano kubwa duniani,Mbona EPL wakienda out wanafungwa sanaaaa
Unapinguza umbylula ulionao weweWhats next baada ya kufaham?
Mimi naamini kipindi cha hivi karibuni Ligi ya Uingereza timu zake hazijapata makocha wa maana, kocha kama Van Gaal, Arsenal na hata huyu Wa Man city Pellegrin ni makocha wanaoziangusha timu zao. Arsene Wenger tatizo lake kubwa ni Usajili, Pellegrin Hajui usajili, Vaan Gaal huyu sijui kwanini!!!!Etii kuna mtu anasema LA liga ni nzuri kisa wanafunga magoli mengi.......
Ila sawa uingereza ni ngumu vipii mbona UEFA hazifanyi vizuri au ndio huko kucheza michuano mingiiii
mwaka jana muda kama huu leicester city alikuwa kwenye mstari wa kushuka daraja, mwaka huu muda kama huu leceister city anaenda kunyanyua KWAPA!Evidence please
Ligi kuu bongo, Geita na Polisi waliwapa watu dozi za kutosha mechi za mwisho kuingia VPL.Etii kuna mtu anasema LA liga ni nzuri kisa wanafunga magoli mengi.......
Ila sawa uingereza ni ngumu vipii mbona UEFA hazifanyi vizuri au ndio huko kucheza michuano mingiiii
Mleta mada kauliza ligi ngumu sio ligi boraMbona EPL wakienda out wanafungwa sanaaaa
Hebu tucheck hiz ligi za
Hebu tucheck hizi ligi tano kubwa duniani,
Bundesliga, hii ligi ni timu mbili tu yaani Buyern Munich na Borrusia Dotmund timu nyingine zinapiganiana kutoshuka daraja. Haina mvuto sana.
Laliga, Hii ligi ina timu 3 ambazo zinaoneshana upinzani yaani Real Madrid, Barcelona na Atl Madrid, sio mzuri sana kuiona kwasababu timu inaweza kufungwa hadi goli 9-0 mfano msimu huu Madrid kuna waliibamiza kama goli 8-0. Nayo ni ligi ya timu mbili Barca na Madrid.
Epl, Hii ndio ligi yenye amsha amsha ya ukweli, hakuna timu ambayo ina uhakika kupata matokeo mbele ya timu nyingine. Kuna Timu kama Nane hivi zenye nguvu kimpira, Man u, Chelsea, Arsenal, Man city, Liverpool, Totenham, Everton na mbishi Leicester city. Ni ligi bora kuingalia
Ligue 1, Huku tayar bingwa kashapatikana huku zikiwa zimebaki game kama 9 hivi. Ligi hii haina upinzani.
Serie A, Huku nako hukueleweki, ligi haina mvuto kama zamani, ni mara chache sana watu kutazama hii ligi
Mbona EPL wakienda out wanafungwa sanaaaa