M Major JF-Expert Member Joined Dec 20, 2007 Posts 1,865 Reaction score 2,453 Mar 2, 2008 #1 Naomba Kuuliza Swali. Je Ni Lini Haswa Mtanzania Kama Mtanzania Ataanza Kufaidi Ges Ya Songo Songo Ambayo Wamepewa Na Mungu? Wana Jf Naomba Mnijibu Kama Kuna Mwenye Jibu Maana Mwenzenu Niko Ktk Kiza Kinene
Naomba Kuuliza Swali. Je Ni Lini Haswa Mtanzania Kama Mtanzania Ataanza Kufaidi Ges Ya Songo Songo Ambayo Wamepewa Na Mungu? Wana Jf Naomba Mnijibu Kama Kuna Mwenye Jibu Maana Mwenzenu Niko Ktk Kiza Kinene