Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Katika historia mbali mbali zinaonyesha tangu zamani kwamba mwafrika amekuwa tabaka la chini katika kila jamii ya mtu mweupe aliyekua nae.
Kutokana na hayo shauku yangu kuu na maswali yangu ya ni lini waafrika tutatoka hapa tulipo katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, uchumi, siasa, mambo ya kijamii, Sayansi na technology nk tushuhudie hata vizazi vyetu
1.Afrika ikiwa Bara linaloongoza kiuchumi DUNIANI.
2.Kuwatumikisha na kuwatesa tena mateso makali kama vile kuwapa ujira mdogo WAARABU, WAZUNGU NA WACHINA. Tukiwa zuwia wahamiaji haramu toka mataifa ya aisia na ulaya wanaotaka kuhamia Afrika.
3.Soko letu la bidhaa zetu yawe mataifa ya Ulaya na uarabuni.
4.Afrika ikienda kutoa misaada kama vile ujenzi wa Miundombinu na hata ikibidi tuwakopeshe fedha nazo walizipe kwa riba kubwa na muda mredu.
5. Siku ambayo lugha za Afrika kama Kiswahili kitafundishwa ulaya,kwa waarabu katika shule zao.