Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kosa la Clouds Media kupenda vitu vizuri, which CCM is one of them.Najua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa niridhike.
Hii takwimu umeikusanyaje? Hii ya ku-lose audiences.Hivi unajua Athari za Kupoteza Potential Audiences wengi ambazo Clouds Media Group imezipata kwa Kutumika na Kujipendekeza Kwao huko?
Na wewe ni among those "great thinkers?"Comments mbalimbali tu za Great Thinkers wa hapa Mtandaoni zinatosha Kuanza Kukupa majibu ya Hoja yangu ila kwa Uutopolo wako huelewi.
😂😂😂 Case closedNa wewe ni among those "great thinkers?"
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo umetoa conclusion kuwa "Clouds wanapoteza audiences" from your mini research ya comments za hapa JF kwa hao so called "great thinkers"??
Mkuu.. Rudi ulipotoka.
Kama unataka kuwaambia watu statement kubwa kama "Clouds wanapoteza audiences kwasababu ya kuisupport CCM (as you say) basi do just one thing.
Uje na takwimu zenye msingi.
#No research no right to speak
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Na wewe ni among those "great thinkers?"

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Case closed
Unajua kuandika vizuri vichwa vya mada ila unakosa hoja ya kuweka jamviniNajua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa na niridhike.
Ingekuwa hivyo basi ingewapoteza zamani sana maana clouds haijaanza kuwa hivi leo, toka enzi za Kikwete walikuwa karibu na CCM, chaguzi waliandaa wasanii kuipigia kampeni CCM. Kipi kipya mpaka kiwafanye wapoteze mashabiki kisa siasa?Hivi unajua Athari za Kupoteza Potential Audiences wengi ambazo Clouds Media Group imezipata kwa Kutumika na Kujipendekeza Kwao huko?
Mzukulu tulia hauna hoja, umeanza kukimbilia matusi.Mbona hata Wewe anayekukaza anajua mno Kuuchomeka lakini hajui Kukukuna ipasavyo hadi sasa unaanza tu Kuwashobokea na Watu wengine?
Sikumbuki Mara ya mwisho kusikiliza Redio ni lini? Maana watangazaji wamegeuka kuwa wakina PolepoleNajua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa na niridhike.
Hata Mimi nashangaaNa wewe ni among those "great thinkers?"
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo umetoa conclusion kuwa "Clouds wanapoteza audiences" from your mini research ya comments za hapa JF kwa hao so called "great thinkers"??
Mkuu.. Rudi ulipotoka.
Kama unataka kuwaambia watu statement kubwa kama "Clouds wanapoteza audiences kwasababu ya kuisupport CCM (as you say) basi do just one thing.
Uje na takwimu zenye msingi.
#No research no right to speak
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Sio utopolo amekuona kilaza kabisa hata Mimi nimekuona great kilazaWewe Utopolo hebu acha Kunipotezea muda wangu tafadhali.
Wasikilizaji wa Clouds sio great thinkersComments mbalimbali tu za Great Thinkers wa hapa Mtandaoni zinatosha Kuanza Kukupa majibu ya Hoja yangu ila kwa Uutopolo wako huelewi.
Usiporidhika utachukua hatua zipi ?Najua Wahusika muhimu wa Chama na Serikali wapo sana hapa Jamvini JamiForums hivyo Mzukulu nitapata Mrejesho wangu hasa na niridhike.
Jibu kwa logic kama yeye alivyokujibu, mambo ya utopolo yanatoka wapi ?Wewe Utopolo hebu acha Kunipotezea muda wangu tafadhali.