Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Endelea kuzimia, viongozi wako, wako bize kugawana vyeo na kutengeneza mtandao, ukizinduka usilisahau jinalako - mwananchi maskini a.k.a mwananchi mnyonge.Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima😭😭😭😭!
Labda Wana mpango wa kutumia mzimu wa JPM kwenye uchaguzi.Watakupuuza lakini umesema ukweli. Maisha hayasimami bali huendelea. Tunapaswa kuendelea na maisha na watu walio hai.
Ninahisi marehemu atatumiwa kupata huruma, ninakumbuka waliokuwa wanasema Chadema inategemea kura za huruma kwa sababu mgombea wake alipigwa risasi. Sasa itakuwa “kumuezi JPM”. Wasisahau wao ndio watakuwa watendaji na sio JPM ambaye hawezi tena kufanya uamuzi wala utendaji!
Kama anapendwa anatuathiri nini now hana relevancy yoyote. Ndiyo maana hata waliohudhuria huko wengine ni wapinzani kindakindaki.Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Wapinzani kwa sasa hakuna kuna wahuni tu! Walikuwa na upinzani wa kweli wameshahamia CCM au kwa sasa hawana chama!Kama anapendwa anatuathiri nini now hana relevancy yoyote. Ndiyo maana hata waliohudhuria huko wengine ni wapinzani kindakindaki.
Imekuathiri hadi umebandika bango, ungepuuzaKama anapendwa anatuathiri nini now hana relevancy yoyote. Ndiyo maana hata waliohudhuria huko wengine ni wapinzani kindakindaki.
Serikali ya wanyonge! Hao wanyonge ni wakina nani, na ninani kasababisha wawe wanyonge na wataendelea kuwa wanyonge hadi lini.Endelea kuzimia, viongozi wako, wako bize kugawana vyeo na kutengeneza mtandao, ukizinduka usilisahau jinalako - mwananchi maskini a.k.a mwananchi mnyonge.
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima😭😭😭😭!
Enzi za siasa chafu zimefika mwisho, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, alizomwaga zinatosha, kwa sasa aendelee kutoa hesabu huko ahera madukani.Wapinzani kwa sasa hakuna kuna wahuni tu! Walikuwa na upinzani wa kweli wameshahamia ccm au kwa sasa hawana chama!
Tiyar 40 dead. Bado covid. Endekezeni ujinga. Kisa SifaMbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Wanaomchukia wamepungua zaidi, sahivi wapo kwenye 30,000 hivi na sehemu.Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Basi malaika amepata kiongozi bora sana.Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Nimebadika bango kuwatahadharisha maana mwenyekiti wa chama Mtarajiwa na mgombea Urais 2025 Samia Suluhu hana praise team, team yote ipo inamsifu Hayati. Mnafikiri wapinzani tunashida na wafu sisi ni wapinzani wa serikali.Imekuathiri hadi umebandika bango, ungepuuza
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Dooh kumbe atapita kishindo kwenye kuongoza malaika, labda mzee wa malofa naye akigombea.Wanaomchukia wamepungua zaidi,sahivi wapo kwenye 30,000 hivi na sehemu.
Kawaambie wewe unayewafuatilia Mimi hata sijawafollowKamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.