Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nilikuwa nasikiliza mubashara.Kamanda unahitaji mapumziko kwanza ili uweze kutafakari vizuri, na kwa kina! hotuba ya Makamu Mwenyekiti.
Alisema atagombea?Kwenye Press ya juzi
Source: Raia Mwema
Alisema hang'atuki Mtu ๐Alisema atagombea?
Lve kabisa juzi bila chenga alisema haondoki chama kakitoa mbaliKumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
Wamepagawa ccm hawaaminiKumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
Halafu siku si nyingi wataanza kusema Lissu asichaguliwe maana ni siasa Kali๐๐๐Wamepagawa ccm hawaamini
Kuachana na siasa.Alisema hang'atuki Mtu ๐
Hatumo kwenye uchaguzi. Mbowe hajazuia mtu mwingine kugombea nafasi ya uenyekiti.Allen Kilewella ni kama mtu aliyeambiwa Kati ya korodani zako mbili minya korodani moja, alafu anazipenda korodani zake zote.
Acha kubabaika chagua mmoja Kati ya Lisu na Mbowe.
CCM Wana mawazo ya Janabi WHO. NDOTO YA ASUBUHIKumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
Juzi alisema kuna Mambo yanapikwa, Acha yaive.Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
Kinachoshangaza CHADEMA ni chama Cha demokrasia lakini CCM hawataki kiwe na demokrasia.Juzi alisema kuna Mambo yanapikwa, Acha yaive.