Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wao waliridhiana na MukandalaKwani kwenye maridhiano hamkuwa nao.....!
Acha kutumia kichwa chako kama dispenser ya mateKama matokeo ya mikutano yenyewe ni ule ulevi wa juzi wa mwenyekiti wa machadema, bora wasifanye tu
Naona umelewa konyagi za mwenyekitiAcha kutumia kichwa chako kama dispenser ya mate
Hata Mhutu dhalim alipoona ameharibu sana akaamua kufaHahahaahahaa Mzee Lytonga alivyoona mambo yanazidi kuwa magumu akaenda kupumzika
Mhutu aliingia Cha kike. Nimemkumbuka sana MsibaHata Mhutu dhalim alipoona ameharibu sana akaamua kufa
Kenge wewe!Kama matokeo ya mikutano yenyewe ni ule ulevi wa juzi wa mwenyekiti wa machadema, bora wasifanye tu
Sidhani kama watafanya mikutano hiyo kamwe🤔Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.
Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
Mkuu naona unaujaribu kuuliza ni lini Kiwete atatembea!Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.
Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka wataitumia fursa hii ya mikutano ya hadhara ili kuimarisha vyama vyao.
Mchumi na Bwana Mapesa !Mkuu naona unaujaribu kuuliza ni lini Kiwete atatembea!
Wana pesa za kuendesha mikutano!