Ni lini kwa mara ya kwanza ulitengeneza/uliingiza Milioni 10? Ilikuwaje?

Ni lini kwa mara ya kwanza ulitengeneza/uliingiza Milioni 10? Ilikuwaje?

Mm nna goli langu la Supu ya Bandama, Utumbo, Chapati kwa asubuhi!

Mchana nakaanga Mihogo nauza na Chachandu!

Usiku Chipsi na Mishkak Malapulap! Mpk nafunga saa 5 usiku, sikosi 85k!

Nikitoa gharama zote ikiwemo wasaidizi huwa nabaki na chini ya 6½k!

Naomba msamariamwema anisaidie, nahitaji miaka mingapi kufikisha 10m?

Kuhusu shule nlisoma kipindi hakuna mabasi ya njano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka 2009 nilikutana na mzee(bibi) akiwa katika hali ya kukata tamaa kutokana na tatizo alilokua nalo
Pamoja na huduma niliyompatia kama alivyopewa sehemu nyingine ILA nikamshauri pia na huduma ya kiroho na akanisikiliza na kufanikiwa kuipata huduma hiyo basi alifanikiwa na tatizo lake limebaki historia
Kutokana na mkasa huu walikuja watoto wake 2 kila mmoja alinipa 5M kama kunishukuru maana kwa madai yao walihangaika sana na kupoteza fedha nyingi sana
Huo ndio ulikua mwanzo wa kuwa na 10M na ndio mwanzo wa kumiliki kiwanja hatimaye nyumba na sasa niko zangu humu pembezoni mwa jiji napata hewa safii huku naangaza macho juu ya bustani zilizopangiliwa zimenizunguka
Sifa kwa Mungu
 
Mwaka 2018 ulikuwa mwema kwangu baada ya kutafuta pesa kwasana toka 2016-2018 nilifanikiwa fikisha 10M.

Malengo yangu yote niende Nairobi nichukue Android phones na vioo vya magari maana nilikuwa nauza simu pamoja na vioo, vioo duka lilikuwa la mzee mmoja nilijuana nae kariakoo baada ya kuniona na akili ndio kunivuta kanambia kaa hapa tafuta pesa twende Kenya ukachukue bidhaa.

Pambana sana nanunua simu nauza najiongeza kwenye vioo. Basi bhana si nikaenda kanisani Kigogo post kwa mchungaji Malachi kwenye kuniombea akanambia wewe ni mtu mkubwa ila ACHANA NA WANAWAKE FANYA KAZI.

Basi ujana una mambo mengi nikakutana na single mother mpare kazaa na Tapeli picha linaanza AHAHAHAHAHAHAHAHHAHA ngoja nicheke alichonifanya hadi leo nawaogopa wapare ahahaahhaha sema nachoshukuru Kariakoo ipo vinginevyo ningekuwa sijui wapi.

VIJANA TUPAMBANE SANA WANAWAKE WAPO TUFANIKISHE KWANZA MALENGO.
 
Mm nna goli langu la Supu ya Bandama, Utumbo, Chapati kwa asubuhi!

Mchana nakaanga Mihogo nauza na Chachandu!

Usiku Chipsi na Mishkak Malapulap! Mpk nafunga saa 5 usiku, sikosi 85k!

Nikitoa gharama zote ikiwemo wasaidizi huwa nabaki na chini ya 6½k!

Naomba msamariamwema anisaidie, nahitaji miaka mingapi kufikisha 10m?

Kuhusu shule nlisoma kipindi hakuna mabasi ya njano

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku 153.445

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mskuma unataka kuzidisha uhaya/Urangila.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichoandika ni fact. Na ukabila utakuua.

Ningetaka kujionesha ningekutajia mwaka ambao nilipata dollar equivalent (ball park) take home ya milioni kumi, kwa paycheck moja. Take home after tax. Katika mwezi wenye paychecks mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom