Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Siku 153.445Mm nna goli langu la Supu ya Bandama, Utumbo, Chapati kwa asubuhi!
Mchana nakaanga Mihogo nauza na Chachandu!
Usiku Chipsi na Mishkak Malapulap! Mpk nafunga saa 5 usiku, sikosi 85k!
Nikitoa gharama zote ikiwemo wasaidizi huwa nabaki na chini ya 6½k!
Naomba msamariamwema anisaidie, nahitaji miaka mingapi kufikisha 10m?
Kuhusu shule nlisoma kipindi hakuna mabasi ya njano
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichoandika ni fact. Na ukabila utakuua.
.............
Salute every body.
Ni swali kwa members wote. Ni lini ulifanikiwa kutengeneza/kuingiza/kupata Milioni kumi yako (ya kwanza kabisa)?
Ilikuwaje? Ulitumia muda gani? Shughuli gani ilikupa kiasi hicho?
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwaje!!
Mwaka mmoja ushatimia mkuu, vipi ushashika 10mlBado sijazishika, ila baada ya mwaka mmoja nitakuja kufufua huu Uzi.
Wacha nifanye kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app