Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

Chini ya jua popote duniani huwezi kushirikisha vyombo vya dola na watendaji kuiba kura,halafu wakati huo huo uvitumie vyombo vya dola kudhibiti na kuchukua hatua dhidi ya wabazilifu wa mali ya umma. Ni kama tu jana waziri mkuu alivyofanya kituko Arusha kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa jiji wakati mtu huyo huyo alishirikiana na kamati ya ulinzi na usalama kuiba kura uchaguzi 2020. ONLY IN TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…