Ni lini mmewahi kuona CCM wako busy na mambo ya CHADEMA au chama cha upinzani?

Usijisahaulishe,hivi ule uchaguzi uliomweka madarakani lisu kama mwenyekiti wa chadema hamkuwa busy nao sio!!??
 
Ukiona wanaume wanapiga picha wameshikana viuno ujue Wanakatana.

Wewe sio mzima.
Mzee Meja kala Hasara.
 
Machawa wenzako wale wa kila nyuzi wapo tu, tangu jana wamepigwa shoti ya hatari sasa wameanza kuelewa kile wengi tunacho kipigania juu ya taifa hili.
 
Ni wapi uliona wapinzani wakikakaa kikao kujadili upuuzi wa ccm? Ama unadhani huku jukwaani ni ofisi ya vyama vya siasa. Tenganisha maoni ya watu mitandaoni, na chama. Chama ni vikao na sio hizi porojo za kwenye social media.
 
Umeongea jambo kubwa sana. Mtu kama Mimi nikichangia mada siiwakilishi CHADEMA bali haya ni maoni yangu binafsi!
 
Kwani CCM bado ipo? Waliopo ni Polisi badala ya CCM. Ukibishana na CCM unabishana na Polisi. Kwa hiyo kusema CCM hawafuatilii mambo ya wapinzani ni fikra zinazotoka kwenye Bongo zilizolala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…