Ni lini nchi zetu za ulimwengu wa tatu zitaweza kuziishi katiba zao? Mfano Ibara hii hapa

Ni lini nchi zetu za ulimwengu wa tatu zitaweza kuziishi katiba zao? Mfano Ibara hii hapa

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
3.-(1) The United Republic is a democratic, secular and socialist state which adheres to multi-party democracy.
 
3.-(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia, isiyo na dini na ya kijamaa yenye kufuata mfumo wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
 
Tatizo mnadhani democracy ni hadi chama pinzani kishinde. Hata chama tawala kikishinda nayo ni democracy. Wananchi wameamua.
 
Back
Top Bottom