Ni lini Nyerere alitembea kwa miguu Butiama hadi Mwanza

Ni lini Nyerere alitembea kwa miguu Butiama hadi Mwanza

Nikupateje

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2009
Posts
1,334
Reaction score
989
Wakuu,

Kama kuna mtu anayekumbuka tarehe Nyerere alipotembea kwa miguu toka Butiama hadi Mwanza ili kuunga mkono Azimio la Arusha, naomba msaada wenu.
 
Back
Top Bottom