N Nikupateje JF-Expert Member Joined Dec 22, 2009 Posts 1,334 Reaction score 989 Jun 15, 2013 #1 Wakuu, Kama kuna mtu anayekumbuka tarehe Nyerere alipotembea kwa miguu toka Butiama hadi Mwanza ili kuunga mkono Azimio la Arusha, naomba msaada wenu.
Wakuu, Kama kuna mtu anayekumbuka tarehe Nyerere alipotembea kwa miguu toka Butiama hadi Mwanza ili kuunga mkono Azimio la Arusha, naomba msaada wenu.