Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi.

Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni.

Mimi naishauri serikali iangalie namna ya kuwatoza kodi hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kukodisha miili yao kwaajili ya kungonoka.

Hili likisimamiwa vizuri litaongeza sana mapato kwani kwa hali ilivyo sasa kati ya wana wa kike 10wenye umri wa 15-35 wa3-5wanakuwa ni makahaba.
 
Sio kila hela ni halali mkuu,so hela ya ukahaba nayo si halali kwa kuwa inatokana na biashara haramu.So nchi kukusanya kodi ya ukahaba ni kuitakia nchi laana.We should not do it.
 
Wakitaka hivyo itabidi wawatengee sehemu maalum ya kupatikana na kutambuliwa, kama vile wamachinga...

Kama ufaransa, Cambodia walivyofanya...
 
No,hata hiyo sio sawa mkuu,hiyo ni sawa na kumkaribisha Shetani in your bedroom,hawezi kukuacha salama.

Halafuu,why is it so difficult kwa watu kuona kwamba we should not collect tax from sex workers kwa kuwa it is illicit money na itailetea nchi laana?
 
Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi.

Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni.

Mimi naishauri serikali iangalie namna ya kuwatoza kodi hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kukodisha miili yao kwaajili ya kungonoka.

Hili likisimamiwa vizuri litaongeza sana mapato kwani kwa hali ilivyo sasa kati ya wana wa kike 10wenye umri wa 15-35 wa3-5wanakuwa ni makahaba.

Bila shaka ndiyo sababu namba zinasoma 24m:

IMG_20211125_104553_412.jpg

Kwa kweli Halipo tatizo la ajira.
 
Back
Top Bottom