Bei haiwezi kupanda sana maana bidhaa ni ileileUtasababisha tupandishiwe bei.
Eeh kukodisha....kukodisha....?
Sio kila hela ni halali mkuu,so hela ya ukahaba nayo si halali kwa kuwa inatokana na biashara haramu.So nchi kukusanya kodi ya ukahaba ni kuitakia nchi laana.We should not do it.Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi.
Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni.
Mimi naishauri serikali iangalie namna ya kuwatoza kodi hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kukodisha miili yao kwaajili ya kungonoka.
Hili likisimamiwa vizuri litaongeza sana mapato kwani kwa hali ilivyo sasa kati ya wana wa kike 10wenye umri wa 15-35 wa3-5wanakuwa ni makahaba.
No,hata hiyo sio sawa mkuu,hiyo ni sawa na kumkaribisha Shetani in your bedroom,hawezi kukuacha salama.Wakitaka hivyo itabidi wawatengee sehemu maalum ya kupatikana na kutambuliwa, kama vile wamachinga...
Kama ufaransa, Cambodia walivyofanya...
Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi.
Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni.
Mimi naishauri serikali iangalie namna ya kuwatoza kodi hawa dada zetu wanaofanya biashara ya kukodisha miili yao kwaajili ya kungonoka.
Hili likisimamiwa vizuri litaongeza sana mapato kwani kwa hali ilivyo sasa kati ya wana wa kike 10wenye umri wa 15-35 wa3-5wanakuwa ni makahaba.
Kama namuona yule baba aliyesema ******** yuko ofsini wakati ndio kwanza alikuwa ameanza kutoa funza mortuaryBila shaka ndiyo sababu namba zinasoma 24m:
View attachment 2023146
Kwa kweli Halipo tatizo la ajira.