CCM wanatuchelewesha kwenye mambo mengi sana. Na tukiendelea kuikumbatia, basi siku zote tutabakia tu kuwa kichwa cha mwendawazimu.tuna Ligi Bora kabisa lakin inauma watu wanavyokipiga kwenye tope eti premier league Ccm wamevikumbatia viwanja tuu.
na wanauwezo wa kutengeneza kiwanja kimoja kimoja kila mwaka upuuz tuuu
Hamna namna ccm inabidi iondolewe ili mpira wetu ukueCCM wanatuchelewesha kwenye mambo mengi sana. Na tukiendelea kuikumbatia, basi siku zote tutabakia tu kuwa kichwa cha mwendawazimu.
Serikali hii hii ya ccm! Sasa si chama chao kitakosa mapato ya kuwalipa wafanyakazi wao, kupitia mapato yatokanayo na viingilio kwenye viwanja vilivyo jengwa kwa kodi za Watanzania wote! Ila mwisho wa siku wakaamua kujimilikisha kinyemela.Serekali iwaweke Simba na Yanga Kati iwakopeshe fungu kiasi wajenge viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa then timu zirejeshe kidogo kidogo kwa miaka kadhaa huku wakiwa wamesolve tatizo la viwanja
Viwanja vyote vizuri vitajaa Dar sasa hiyo watakuwa wamefanya nini.Serekali iwaweke Simba na Yanga Kati iwakopeshe fungu kiasi wajenge viwanja viwili vyenye hadhi ya kimataifa then timu zirejeshe kidogo kidogo kwa miaka kadhaa huku wakiwa wamesolve tatizo la viwanja
Nimejaribu kufikiria njia rahisi ya kuweza angalao kuwa na viwanja vitatu vyenye hadhi huwenda hiyo itakuwa njia nyepesi.Viwanja vyote vizuri vitajaa Dar sasa hiyo watakuwa wamefanya nini.
Serikali inapaswa kujenga viwanja vizuri mikoani na ccm isalimishe mara moja viwanja vyote walivyotwaa kwani hivyo viwanja sio mali yao ni mali ya nchi.
Sawa lakini viwanja vijengwe mikoani na waanzie kwenye kanda Mwanza, Arusha, Dodoma na Mbeya kila moja uwe na ujazo wa kuchukua watazamaji 60,000 na waweke kabisa na Floodlights.Nimejaribu kufikiria njia rahisi ya kuweza angalao kuwa na viwanja vitatu vyenye hadhi huwenda hiyo itakuwa njia nyepesi.
Kwel kabisa tena viwe vyenye hadhi ya kimataifaSawa lakini viwanja vijengwe mikoani na waanzie kwenye kanda Mwanza, Arusha, Dodoma na Mbeya kila moja uwe na ujazo wa kuchukua watazamaji 60,000 na waweke kabisa na Floodlights.
Unasema kwenye tope la Manungu, wenyewe TFF wakikusikia watakasirika mno..Ule ni uwanja hauna shida yaani kucheza Ligi Kuutuna Ligi Bora kabisa lakin inauma watu wanavyokipiga kwenye tope eti premier league Ccm wamevikumbatia viwanja tuu.
na wanauwezo wa kutengeneza kiwanja kimoja kimoja kila mwaka upuuz tuuu
Wakijenga mtalalamika kwamba mnataka pesa mofukoni na sio kuwekeza kwenye burudaniSalaam.
Kwa wale wanaofuatalia AFCON kule Cameroon watakubaliana na mimi kuwa Cameroon wametuacha sana kwenye suala la viwanja vya kisasa.
Viwanja vyao viko vizuri ni level za Ulaya.
Je, sisi tunakwama wapi na naamini hata kwenye suala la maendeleo tupo mbele ya Cameroon.
Kwa kwetu kidogo uwanja una uafadhali ni Uwanja Mkapa pale Dar es Salaam labda na wa uhuru kidogo lakini viwanja vya mikoani ni vina hali mbaya kabisa.
Kwa hali tuliyopo tunapaswa kuwa na viwanja vya kisasa walau hata 4 vya kubeba watu kuanzia elfu 40.
Sent using Jamii Forums mobile app