Ni lini serikali itaanza ujenzi wa SGR ya kwenda Moshi na Arusha?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Ni lini serikali itaanza ujenzi wa SGR ya kwenda Moshi na Arusha?

Hakuna kanda inaongoza kwa kua na wasafiri na watalii kama kanda ya kaskazini.

Sasa ni lini serikali yetu itaanza ujenzi wa treni ya umeme kwenda mikoa ya Tanga,Moshi na Arusha. Serikali ingeingiza mabilioni kwa matrilioni endapo hii kanda ingekua na treni ya uhakika.

Pia ujenzi wa SGR kutoka Arusha mpaka mara ziwani victoria ili kuweza kuiunganisha kanda ya kaskazini na kanda ya Ziwa mizigo ya Mara, Ziwa victoria yote iwe inakuja kwa treni hadi Moshi na Arusha then Tanga bandarini

Kwanini hatuna haya mawazo?Katika maeneo yalipaswa yapate reli ya uhakika ni kanda ya kaskazini mpaka Mara!
 
Kwani ilani ya chadomo inasemaje kuhusu SGR?
 
awamu ya asali na maziwa itawafika wana ARUSHA na KILIMANJARO nia ya chama cha mapinduzi ni njema siku zote
 
Ni lini serikali itaanza ujenzi wa SGR ya kwenda Moshi na Arusha?

Hakuna kanda inaongoza kwa kua na wasafiri na watalii kama kanda ya kaskazini.

Sasa ni lini serikali yetu itaanza ujenzi wa treni ya umeme kwenda mikoa ya Tanga,Moshi na Arusha. Serikali ingeingiza mabilioni kwa matrilioni endapo hii kanda ingekua na treni ya uhakika.

Pia ujenzi wa SGR kutoka Arusha mpaka mara ziwani victoria ili kuweza kuiunganisha kanda ya kaskazini na kanda ya Ziwa mizigo ya Mara, Ziwa victoria yote iwe inakuja kwa treni hadi Moshi na Arusha then Tanga bandarini

Kwanini hatuna haya mawazo?Katika maeneo yalipaswa yapate reli ya uhakika ni kanda ya kaskazini mpaka Mara!
Ili tuwahi Xmass. Tunachelewa sana kwenda 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom