π€π€π€π€ππππKuna 5000 ya kubrushia viatu hii mpaka hayati shujaa alikuwa anaijua
Kuna pesa ya mafuta ya gari kwenda kukamata watuhumiwa
Kuna elfu moja ya kanunulia karatasi
Kuna pesa ya muhuri & nyingine nyingi ambazo zinaombwa wazi kabisa katika vituo vya polisi na hatujawahi kuona jitaihada za kuzuia hali hii kuendelea
Sasa kama wizi wa makampuni ya simu sasa umeitwa tozo na wananchi wamekubali kwa nini na hizi rushwa zisiidhinishwe ili zikachangie kujenga zahanati & vituo vya afya huko vijijini
Haya mambo haya mwisho wakwe hauko mbaliKuna 5000 ya kubrushia viatu hii mpaka hayati shujaa alikuwa anaijua
Kuna pesa ya mafuta ya gari kwenda kukamata watuhumiwa
Kuna elfu moja ya kanunulia karatasi
Kuna pesa ya kununulia mafuta ya kusafishia bunduki
Kuna pesa ya muhuri & nyingine nyingi ambazo zinaombwa wazi kabisa katika vituo vya polisi na hatujawahi kuona jitaihada za kuzuia hali hii kuendelea
Sasa kama wizi wa makampuni ya simu sasa umeitwa tozo na wananchi wamekubali kwa nini na hizi rushwa zisiidhinishwe ili zikachangie kujenga zahanati & vituo vya afya huko vijijini
Utayamalizia huko huko kilingeni ama vipiHaya mambo haya mwisho wakwe hauko mbali
Una maana wakwende wakainame hapo MombasaniUkiombwa pesa na hao watu waambie waende Mombasa zinagawiwa bure.
Usiilize majibu,wanapenda pesa za bure na hiyo ndio best option.Una maana wakwende wakainame hapo Mombasani