KERO Ni lini Serikali itaweka utaratibu wa kuwaunganisha Wanandoa ambao ni Watumishi wa Umma wanaofanya kazi katika mikoa tofauti? Ndoa zipo hatarini

KERO Ni lini Serikali itaweka utaratibu wa kuwaunganisha Wanandoa ambao ni Watumishi wa Umma wanaofanya kazi katika mikoa tofauti? Ndoa zipo hatarini

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Suala hili kweli ni kero kubwa, sana Kwa watumishi, inafifiza moyo wa kufanya kazi, chanzo Cha magonjwa ya zinaa na UKIMWI, msongo wa mawazo, ukosefu wa furaha nk.

Usitawi wa familia unaangania kisa utumishi wa umma; mpaka nawaza niache kipi kati ya ajira au familia..

Kila siku napishana na familia kisa umbali, halafu asubuhi uamkie ofsini ni mtihani,

Kauli ya serikali ilikuwa inafufua matumaini lakini mpka Sasa ipo kimya.
 
Kwahiyo Ulivyomsikiliza Simba~Chawene Pale Bungeni Maneno Anayatupa Ukaamini Kwamba Utakwenda Halmashauri Uhame Tu Umfuate Mwenza Wako
Wale Wakishaongea Bungeni, Na Meza Zikagongwa Ujue Imeisha Hutaona Muendelezo
 
Chagua kazi au mke, mshika 2, 1 huponyokaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waziri wa masuaka ya jamii Mh Dkt. Gwajima D muombe akamshirikishe mwenzake Simbachawene wa utumishi na Mchengerwa wa tamisemi yenye watumishi wengi ili waangalie namna Bora ya kutatua changamoto hiyo.

Kuna migogoro mingi sana ya ndoa, malezi yasiyofaa Kwa watoto, uzinzi na ulevi na zaidi ufanisi wa kazi unashuka.
 
Baada ya kutafakari kwa kina nilitambua kabisa itakuwa ngumu kwa mimi either kumfuata aliewahi kuwa mpenzi wangu kijijini mbali sana alikopangiwa kazi ya ualimu ama kubaki mjini kukimbizana na maisha huku nikiset goals zangu.....nilimuomba achague moja kuacha kazi tupambane ama abaki kijijini alikopangiwa,hakuyaamini maono yangu, akajivunia ajira ,alichagua kubaki na kazi yake,Nami nilifuata njia yangu (tulikuwa na mtoto).Nikampata tena afisa mtendaji naye alikuwa kapangiwa kijijini.....nikampa nae sharti either kuacha ama tuachane akanisikia....Mungu ni mkuu,leo hii tuna uwezo wa kutengeneza mshahara wa mwalimu kwa Mauzo ya siku mbili.....
 
Hahahaha watu inabidi wachague aisee, mana serikali inaajiri mtu mmoja, sasa kama ikianza hamisha watu kisa ndoa itakuwa changamoto, watu wa dar tutakuwa na wake wengiiiii sana kwenye system 😂😂
 
Back
Top Bottom