Inauma mkuu bora tu make kununua jezi kila siku sina pesa mimi labda boss aanze kugawa jeziFungua moyo wako washangilie Yanga..timu zote za Kariakoo
Mimi simba Damu mkuu ila mpaka nikilala naweweseka juu ya ud songo alafu tuliambiwa tunanzia makundi mara tunanzia kwa vitoto vya kimakondeMtoa mada mshabiki wa yanga kuna kitu kinakusumbua na kukutafuna ndani kwa ndani....najua maumivu ni makubwa mnoo but wakulaumiwa si simba bali ni kamusoko...simba hawahusiki kabisa na nyie kutoa droo nyumbani...jipangeni kwa mechi inayokuja mshinde or mtoe draw ya goli zaidi ya moja ugenini ili mpite la sivyo haya maumivu hayataisha leo
Hahaah na mkitolewa shirikisho mtanusa kimataifa lini tena....???mwaka kesho kutwa???...maana hakuna tena wakuwabeba mshiriki kimataifa kama mlivyobebwa mwaka huuyanga akitolewa na zesco anaenda shirikisho kumalizia maumivu yake, , simba sasa maumivu yenu ni mpaka mwakani mwezi wa 8 ndio mtanusa kimataifa! poleni sana!
Mimi simba Damu mkuu ila mpaka nikilala naweweseka juu ya ud songo alafu tuliambiwa tunanzia makundi mara tunanzia kwa vitoto vya kimakonde
Sasa na wale wachezaji wetu vibabu wawa kagere nyoni shibobo boko chama wahindiΓ2 hivi sasa mwakani si watatwongezea muweweseko mwakaniHahaaah endelea kuweweseka mkuu....sisi mashabiki wa timu yetu ya kwasukwasu fc acha tuendelee kuiendesha timu yetu ya wananchi kwa harambeeee....kinachoniuma sikuhizi tunafungwa na vitimu kama jkt ruvu..sasa hapo ubingwa si tusahau mkuu na mwakani haya mashindano ya kimataifa si tutaishia kuyasikia tu maana alietubeba mwaka huu mpaka tukashiriki ndo nyie simba na mshatolewa na wamakonde
Mkuu umenitajia hicho kibabu chenu cha simba kagere umenikumbusha maumivu ya mechi iliyopita...icho kibabu ndo kilitufanya si mashabiki wa kwasukwasu tulale na viatu...yaani kibabu kinafunga hicho...msimu uliopita hawa vijana wetu wa yanga walishindwa kukikaribia kabisa kwa magoli...yaani mkuu bora nyingi mna vibabu vinafunga sisi huku tumepigwa kwa kupewa mabaunsa ya congo yanafunga magoli ya penati tuπππππSasa na wale wachezaji wetu vibabu wawa kagere nyoni shibobo boko chama wahindiΓ2 hivi sasa mwakani si watatwongezea muweweseko mwakani
wakati yanga tunacheza kimataifa, simba mko nyumbani mnacheza na namungo, yaani usajili wa bilioni 3 unaishia kwa namungo. Tena naombea yanga itolewe na zesco ili tulichukue kombe la shirikishoHahaaah endelea kuweweseka mkuu....sisi mashabiki wa timu yetu ya kwasukwasu fc acha tuendelee kuiendesha timu yetu ya wananchi kwa harambeeee....kinachoniuma sikuhizi tunafungwa na vitimu kama jkt ruvu..sasa hapo ubingwa si tusahau mkuu na mwakani haya mashindano ya kimataifa si tutaishia kuyasikia tu maana alietubeba mwaka huu mpaka tukashiriki ndo nyie simba na mshatolewa na wamakonde
Kombe lipi la shirikisho mchukue??? π π π π ....mshawahi lichukua kumbe???wakati yanga tunacheza kimataifa, simba mko nyumbani mnacheza na namungo, yaani usajili wa bilioni 3 unaishia kwa namungo. Tena naombea yanga itolewe na zesco ili tulichukue kombe la shirikisho
Kombe lipi la shirikisho mchukue???
Siku na ud songo kilikua wapi mechi zote mbili huoni kinakambuzi wanakasaidia aka kababu ketuMkuu umenitajia hicho kibabu chenu cha simba kagere umenikumbusha maumivu ya mechi iliyopita...icho kibabu ndo kilitufanya si mashabiki wa kwasukwasu tulale na viatu...yaani kibabu kinafunga hicho...msimu uliopita hawa vijana wetu wa yanga walishindwa kukikaribia kabisa kwa magoli...yaani mkuu bora nyingi mna vibabu vinafunga sisi huku tumepigwa kwa kupewa mabaunsa ya congo yanafunga magoli ya penati tuπππππ
Yani sisi wa kikosi cha billion tatu tutolewe na team ya mchangani nyie mchukuewakati yanga tunacheza kimataifa, simba mko nyumbani mnacheza na namungo, yaani usajili wa bilioni 3 unaishia kwa namungo. Tena naombea yanga itolewe na zesco ili tulichukue kombe la shirikisho
Kumbe kambuzi ndo alichezesha hata ile mechi ya alhaly na zote za club bingwa ambazo kababu kalifunga??Or kambuzi ndo yule aliyekataa lile clear goli la pili tulilofungwa juzi na jkt ruvu....hahaaaaaah kama ndo mwenyewe alitusaidia kupunguza aibu mkuu π π πSiku na ud songo kilikua wapi mechi zote mbili huoni kinakambuzi wanakasaidia aka kababu ketu
Kambuzi na jamii yake ndio waliokubali goli letu la offside na mtibwa. Kambuzi alikosekanika tukila 13 kwa vita al haly na waljeriaKumbe kambuzi ndo alichezesha hata ile mechi ya alhaly na zote za club bingwa ambazo kababu kalifunga??Or kambuzi ndo yule aliyekataa lile clear goli la pili tulilofungwa juzi na jkt ruvu....hahaaaaaah kama ndo mwenyewe alitusaidia kupunguza aibu mkuu π π π
Hahaaah kambuzi ndo akawapeleka nyinyi simba robo fainali....sisi yanga katunusuru kwa aibu ya kipigo cha goli mbili juzi...kakaataa clear goli kabisa...makofi kwa kambuzi plizzzzzzz π π π πKambuzi na jamii yake ndio waliokubali goli letu la offside na mtibwa. Kambuzi alikosekanika tukila 13 kwa vita al haly na waljeria
Hata hatua ya makundi hamtatoboawakati yanga tunacheza kimataifa, simba mko nyumbani mnacheza na namungo, yaani usajili wa bilioni 3 unaishia kwa namungo. Tena naombea yanga itolewe na zesco ili tulichukue kombe la shirikisho
Mkuu forget about 3B,walijinasibu sana kwamba;Mfumo wao wa usajili mwaka huu hakuna anaejua/hakuna atakaejua kwamba wanasajili kitaalam zaidi,kumbe walienda Pakistan kufanya scouting na wakapewa na wachezaji wa nyongeza,kilichowakuta kutoka kwa yule jamaa anaitwa Louis Misquinsone(Ud songo Captain) mmmh hawatamsahau..!wakati yanga tunacheza kimataifa, simba mko nyumbani mnacheza na namungo, yaani usajili wa bilioni 3 unaishia kwa namungo. Tena naombea yanga itolewe na zesco ili tulichukue kombe la shirikisho
huko pakistani au Afghanistan kwani shibobu wa wapi yule ataambia nini watuMkuu forget about 3B,walijinasibu sana kwamba;Mfumo wao wa usajili mwaka huu hakuna anaejua/hakuna atakaejua kwamba wanasajili kitaalam zaidi,kumbe walienda Pakistan kufanya scouting na wakapewa na wachezaji wa nyongeza,kilichowakuta kutoka kwa yule jamaa anaitwa Louis Misquinsone(Ud songo Captain) mmmh hawatamsahau..!