Ni lini Udsm itatambuwa mchango wa Bakhresa na kumtunuku Honorary Causa?

Kutukuza hao mbumbumbu ni kufanya elimu ionekane si kitu.

Huyo SS Bakhressa kagundua nini cha maana ukiachana na ukwaju?
 
Nadhani hakuna tajiri wa kitanzania anayestahili hata diploma ya heshima achilia mbali udaktari wa heshima. Wengi wao wana uchafu mwingi nyuma ya pazia ikiwemo kujipatia mali za serikali kupitia watendaji wasio waaminifu. Huyo Bakhressa nimesikia mara kadhaa katajwa kwenye dili la kujibinafsishia NMC. Hata wakati wa Magu alikutwa na mambo ya hovyo kwenye ICD yake. UDSM iwatunuku watu wasio na makandokando.
Hayo majizi ya CCM Yana utakatifu upi mpaka yanatunukiwa hizo Honorary Causa?
 
Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
Kutunuku wanasiasa hizo degree za Honorary Causa ni njia mojawapo ya kufanya UCHAWA na kuomba kupata upendeleo wa vyeo vya kisiasa kutoka kwa Watunukiwa.
Je huyo SS Bakhressa atawalipa upendeleo gani hao watu Watakaomtunuku hiyo degree?
 
Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
Hadi pale ataacha udini na unafiki.
 
Honorary Causa inahusiana Vipi na uvumbuzi? Samia kagunduwa nini?

Unamjuwa vizuri Bakhresa before and now?
Bakhressa ni mfanyabiashara mwizi tu kama wezi wengine, mchango wake kwenye Taifa hili ni upi ukiacha maslahi binafsi?

Unaweza kumtukuza kwa vile ni tajiri, ila akae akijua ni kilaza tu.... wenzake kina Aliko kina Motsepe wamepiga shule.
 
Nadhani hakuna tajiri wa kitanzania anayestahili hata diploma ya heshima achilia mbali udaktari wa heshima. Wengi wao wana uchafu mwingi nyuma ya pazia ikiwemo kujipatia mali za serikali kupitia watendaji wasio waaminifu. Huyo Bakhressa nimesikia mara kadhaa katajwa kwenye dili la kujibinafsishia NMC. Hata wakati wa Magu alikutwa na mambo ya hovyo kwenye ICD yake. UDSM iwatunuku watu wasio na makandokando.
Hebu funguka vizuri kwa kina.
 
Bakhressa ni mfanyabiashara mwizi tu kama wezi wengine, mchango wake kwenye Taifa hili ni upi ukiacha maslahi binafsi?

Unaweza kumtukuza kwa vile ni tajiri, ila akae akijua ni kilaza tu.... wenzake kina Aliko kina Motsepe wamepiga shule.
Sasa kama hajakwenda shule na ameweza kuwazidi wasomi na kutajirika huyu si ndio mwenye akili?
 
Kazi ya elimu sio kutajirisha, na hata hiyo heshima unayomwombea pengine haihitaji..... haitamuongezea chochote.
 
Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
Kwamba bahresa ana akili nyingi au jiniazi? Hivi hamjui kama jamaa anapokea business proposal kwa vijana anazifanyia Kaz?
 
Back
Top Bottom