Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sababu sio mkristoNi Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
Honorary Causa inahusiana Vipi na uvumbuzi? Samia kagunduwa nini?Kutukuza hao mbumbumbu ni kufanya elimu ionekane si kitu.
Huyo SS Bakhressa kagundua nini cha maana ukiachana na ujwaju?
Samia ni Mkristo?Sababu sio mkristo
Ni mkuuubwa, so wagalatia lazima wajipendekeze kwake kumpa udoktoriSamia ni Mkristo?
Hayo majizi ya CCM Yana utakatifu upi mpaka yanatunukiwa hizo Honorary Causa?Nadhani hakuna tajiri wa kitanzania anayestahili hata diploma ya heshima achilia mbali udaktari wa heshima. Wengi wao wana uchafu mwingi nyuma ya pazia ikiwemo kujipatia mali za serikali kupitia watendaji wasio waaminifu. Huyo Bakhressa nimesikia mara kadhaa katajwa kwenye dili la kujibinafsishia NMC. Hata wakati wa Magu alikutwa na mambo ya hovyo kwenye ICD yake. UDSM iwatunuku watu wasio na makandokando.
Kutunuku wanasiasa hizo degree za Honorary Causa ni njia mojawapo ya kufanya UCHAWA na kuomba kupata upendeleo wa vyeo vya kisiasa kutoka kwa Watunukiwa.Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
Hadi pale ataacha udini na unafiki.Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?
Udini umekujaa mpaka suruali unavalia kichwani.MUM si wampatie kama UDSM ni wakristo.Sababu sio mkristo
Sababu ni Mwarabu etySababu sio mkristo
Bakhressa ni mfanyabiashara mwizi tu kama wezi wengine, mchango wake kwenye Taifa hili ni upi ukiacha maslahi binafsi?Honorary Causa inahusiana Vipi na uvumbuzi? Samia kagunduwa nini?
Unamjuwa vizuri Bakhresa before and now?
Hebu funguka vizuri kwa kina.Nadhani hakuna tajiri wa kitanzania anayestahili hata diploma ya heshima achilia mbali udaktari wa heshima. Wengi wao wana uchafu mwingi nyuma ya pazia ikiwemo kujipatia mali za serikali kupitia watendaji wasio waaminifu. Huyo Bakhressa nimesikia mara kadhaa katajwa kwenye dili la kujibinafsishia NMC. Hata wakati wa Magu alikutwa na mambo ya hovyo kwenye ICD yake. UDSM iwatunuku watu wasio na makandokando.
Sasa kama hajakwenda shule na ameweza kuwazidi wasomi na kutajirika huyu si ndio mwenye akili?Bakhressa ni mfanyabiashara mwizi tu kama wezi wengine, mchango wake kwenye Taifa hili ni upi ukiacha maslahi binafsi?
Unaweza kumtukuza kwa vile ni tajiri, ila akae akijua ni kilaza tu.... wenzake kina Aliko kina Motsepe wamepiga shule.
Kazi ya elimu sio kutajirisha, na hata hiyo heshima unayomwombea pengine haihitaji..... haitamuongezea chochote.Sasa kama hajakwenda shule na ameweza kuwazidi wasomi na kutajirika huyu si ndio mwenye akili?
Kwamba bahresa ana akili nyingi au jiniazi? Hivi hamjui kama jamaa anapokea business proposal kwa vijana anazifanyia Kaz?Ni Kwa nini vyuo vikuu vyetu vinajipendekeza Sana Kwa wanasiasa na kushindwa kutambuwa mchango wa watu waliyofanya makubwa kama SS Bakhresa ambaye hata corridor za University hajui zinafananaje?