Mwenye kujua tafadhali nijuze kama usajili huo wa watahiniwa wa form six kwa mwakani kama umeshaanza,na kama umeshaanza ni lini unafungwa? kama haujaanza basi ni lini utanza?
NAWASILISHA
Mi najua kwa watahiniwa wa kujitegemea (private candidates)usajili ulishaanza kuanzia julai na ilikuwa mwisho septemba bila fine 50000. Kwa sasa utalazimika kulipia pamoja na fine jumla 65000, mwisho wa usajili ni oktoba hii tarehe 30