Unataka nani aondoke hapo? Prof. Msamxyxxxxka? Dr. Mt§$%a? au nani??? Sahau hilo. Yaani hiyo timu ndo imetua hapo. Haijawahi tokea chuo kumekuzwa na mtu halafu wanaleta mtu mwingine baada ya kuwa uplifted wakati aliyekuwepo ana fit kwenye hiyo position. If you feel that you are incompartible to them, kindly look for another alternative.