MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Baba yangu alikuwa mwaliimu, alistafu mwaka 2014 baba yangu mdogo wa hiari alifuata akastaafu 2015.
Kimbembe ni kwamba tangu walipostaafu miaka ile mpaka tunapoongea muda huu hawajapata hata Senti tano sio pspf wala pension sijui kiinua mgogo hawajapata mpka leo.
Kuna vitendo ambavyo vinafanyika ambavyo naweza nikasema navifananiaha na vitendo vya dhuruma kwasababu pindi ambapo wazee hao wanapoji organize ( siyo hao wawili tu bali wapo kadhaa zaidi ya hao wawili) sasa wanapoonesha kulivalia njuga swala labda waende dodoma ghafla wanaitwa wilayani kaliua wanasainishwa ma form na kuambiwa waandae salary slips na nyaraka zingine nyingi ili malipo Yao yafanyiwe kazi
Cha kushangaza baada ya hapo swala linawekwa kapuni, then wakitaka kuamka tena wanaitwa wanazugwa na form nyingi nyingi kujazishwa ili kupewa moyo mtindo umekuwa ni huu huu mpka leo hakuna kinachoendelea.
Cha kushangaza tena Kuna kipindi mbunge wa ulyankulu aliuliza bungeni akajibiwa kwamba tayari malipo Yao yamekwasha kufanyika lakini actually siyo kweli ni tofauti hawajalipwa bado na nina uhakika kwasababu miongoni mwao babaangu mzazi yumo.
Wito wangu na maombi yangu nakuombeni viongozi wa serikali mliomo humu JamiiForum mimi nipo tayari kutoa ushirikiano ili basi na hawa wazee wamalizie Dunia Yao wakiwa na hali nzuri kiuchumi na pia wawe na amani na upendo kwa nchi yao na viongozi wao kwani hali walonayo muda huu ni ngumu na wamelitumikia Taifa kwa zaidi ya miaka 25 kwa weredi na uwajibikaji.
Soma Pia: Serikali wasaidieni Wastaafu wa CANVAS (Morogoro), miaka 25 hawajapata haki yao, wenzao 140 wameshatangulia mbele ya haki
NAKUOMBA RAIS, MAMA YETU MSIKIVU SAMIA SULUHU HASSANI WAANGALIE HAWA WAZEE WAPATE HAKI ZAO NA MUNGU ATAKUBARIKI! AMINA!!