Ni lini waliochaguliwa wataenda vyuoni?

Ni lini waliochaguliwa wataenda vyuoni?

Joined
Oct 1, 2022
Posts
5
Reaction score
3
Kuna mchakato ulipita wa kuwapata watu watakao pata mafunzo na baadae kuwa wahudumu wa Afya ngazi ya jamii kwa ile mikoa kumi ya kwanza. Sasa nataka kujua ni lini Hawa waliopatikana wataenda mafunzoni?
 
Back
Top Bottom